MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
Mwanamke ni tabia.
Hata kama Mwanaume utakua unaeleweka vipi kwà mwanamke, kama tabia ya mkeo ni sifuri ni sawa na Kazi bure. "Maziganyanza" Mwili wa mwanamke umebebwa na tabia, na tabia ni sawa na ngozi.
Inasemekana ngozi iliyotumika kutengeneza umbile la mwanamke ilitoka kwenye moyo wa Mwanaume. Na ndio maana kwakua moyo una Kazi ya kusukuma Damu. Mwanaume akimuona au kumuangalia mwanamke kwà kumtamani tayari anakua kesha zini nae moyoni mwake.
Wanawake wanaijua siri hiyo, na ndio maana wanahaingaika kila uchwao kuboresha ngozi zao na kuvaa vibaya kuonyesha wanaume maumbile yao, pamoja na kutaka kujipitisha pitisha mbele yao waonekane. Au kukaa nao karibu.
Kwahiyo basi, kumbe ni rahisi sana kwà Mwanaume yeyote kuuteka mwili wa mwanamke kwasababu tu ya tabia ya huyo mwanamke, lakini si rahisi hata kidogo kuyateka matamanio ya moyo wake hata kama tabia ya huyo mwanamke ni nzuri au mbaya. Hili ni fumbo kubwa sana kwà wanaume na linahitaji Akili nyingi sana kulifumbua.
Conclusively, uzuri wa mwanamke ni tabia nzuri yenye moyo ulioridhika.
Wanaume ishini na wanawake kwà kutumia Akili, na sio kwà kutumia moyo. Mtaumiza mioyo yenu bure. Usikubali mwanamke akupande kichwani...mpe moyo wako tu but usimpe akili yako (macho yako), kamwe Usikubali kuwa kipofu.
Note: Bora kuishi na Mwanamke kwà kuwa kama kiziwi kuliko kuishi nae kwà kuwa kama kipofu, ni hatari sana.