Wanaume, mke kama huyu unamfanyaje?

Bado yuko hapo nyumbani kwako? Hujarudisha kwa mama yake?

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Ni dhahiri malengo yenu hayaendani. Piga chini huyo, maana ni mbinafsi sana.
 
Hawa viume hawa ,tena hawa waliozaliwa kuanzia miaka ya 1983,Ni viukbe wa Hatari sana
 
Mwanamke yeyote akishatoa TU mimba hashwindi kukufanyia chochote kile
 
Ulishaamua kuoa, maandiko yanasisitiza tukizaliwa upya tusichunguze ya kale.

Sasa sijaelewa ndugu yangu unatakaje na ulishaamua kubeba msalaba wako.
Asili ina nguvu Binti aachi tabia ya mama yake.
 
Kama umeandika kuomba ushauri. Nikushauri
1. Wewe ndo uanze kubeba mimba
2. Hizo mimba si zako

Hakuna mwanaume anaweza uliza swali hili la kipumbavu. Wewe ndo mwanamke
Pamoja Na madhaifu yangu

1. Mwanamke akinidanganya suala la watoto, lazima nitafanya maamuzi magumu YA kumwacha najua nitaumia Ila nitamtoa Kia sehemu YA maisha yangu

2, mwanamke akitoa mimba yangu tukiwa kwenye ndoa ..hiyo ni ticket moja Kwa moja YA kumpiga chini Na kuanzia upya maisha pasipo yeye...
Bro kama bado inahitaji ushauri Zaidi YA huu jipige Moyo konde kuwa Wewe ni
zwazwa
 
Tafuta demu mwingine tia Mimba mpangishie nyumba.. uwe unajilia kimyakimya.. huyo ishi nae kama picha tuu[emoji23][emoji23][emoji23]

Maana mademu wa chuo kama una Akili timamu sio wa kuoa.. sidhani kama Kuna demu kamaliza chuo Bila kutoa mimbaz

Mama yangu Kwa aliyokuwa anayaona ofisini kwake alinipa hint.. nikae nao mbali sanaaa
 
Siku hizi hamna kabisa wanaume. Tumebaki wachache. Huyu anakuja kuomba huku ushauri kwa jambo ambalo angeamua tu kulimaliza. Jinga sana huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…