bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
....Si kweli. Wanawake wengi wanapogombana na waume zao hukimbilia kubeba watoto wakiamini mwanaume lazima atapeleka pesa ya matumizi ya watoto na yeye anakulapo humo humo. Mwanaume asipopeleka pesa ya matumizi utasikia mwanamke anaaza kulia lia kuwa mwanaume ametelekeza mtoto/watoto hatoi pesa ya matunzo na ndio maana wanaume wengi huamua kula kona. Nina ndugu yangu alipatwa na mkasa wa aina hiyo mama anataka kwa mwezi kila mtoto apewe pesa ya matumizi 100,000 na wana watoto watatu cha kushangaza yeye mama anajitoa kwenye suala la matunzo as if watoto si wake! Why?? Jeuri za wanawake ndio chanzo cha hayo yote...
unageneralize sasa...si wanawake wote wanashida na hivyo vijisenti vya mumewe mpaka atumie defence ya kubeba watoto.
the natural attachement of most mothers to their children ndo hupelekea mama kuondoka na watoto!!!
unadhani pesa ndo kila kitu??? iambie basi iwapikie wanao, iwapigie hadithi na nyimbo(lulabi) na mengine kama hayo tuone
these kids need love and care of their parents