Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Hornet naomba namba yako ya Simu mi ntakupigia. Hahahaaaaa. Kwa usawa huu wa MZEE wa waomba risiti watu wanaogopa kuambiwa wifi sina
 
Tatizo tukisevu baadae tunachanganya hujui ulisevu kwa jina gani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nimekumbuka mbaali, yani simu yangu utakuta namba zinazotumika ni kama ishirini tuu

Lakini kuna vimajina hua divielewi elewi asee, nikipiga natamani muhusika ndio ajitambulishe huku ninalojina[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]


Manina huu uroho wa macho aseee

Kwa nyakati hizi unaweza sajiri laini leo na ukaamua leoleo ijae namba za mabinti kufika jioni.


TIZI NI KUJUA NANI NI YUPI NA YUPI NI NANI[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Nimekumbuka, mmoja alishindwa kujizuia akaniambia, "Eli79 namba yako inajaza simu yangu tu, sioni faida yake"...nilikula kimya nae Kala kimya!! [HASHTAG]#ujanani[/HASHTAG]!
 
Haka kauzi kameleta maana ya jf.

Wakati mwingine burudani sio kila muda tuu nondo za sia


Ooo mara dikteta uchwara,
Ooo mara msalitiiii...


Oooj. Mara makinikia

Oooh mara chadema


Ooooh, mara ma ccm

Oooh, mara noah


Leo nimeinjoi kweli,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…