Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Ukiona hujapigiwa simu ya kuitwa kwenye interview japo ulitoa namba ujue hujakidhi vigezo vinavyotakiwa...
 
Mpigie ww umkumbushe yaelekea ulimwelewa, Usiogope
Inakera hii. Nimeshasema ntakutumia, lakini muda wote unapiga kukumbushia na kutuma sms bila kuchoka, hawa watu sijui wakoje. Ukiahidi Tu, inakuwa ni deni.
 
Punguzeni mizinga...
Nimekumbuka tu enzi hizo mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki, mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.

Kwanini unaomba namba na kusave kabisa kama hauna nia ya kupiga?
Inakera mjue.

Kijiweni mashosti nao wakaligusia hili, eti "kuna jamaa kaomba namba kwenye basi wiki sasa hajapiga kabisa, sijui aliomba ya nini mxieee"

Wanaume mjirekebishe bwana kama mtu hautaki mawasiliano nae usiombe namba, inakera halafu ni kama kumchoresha mtu.

Hasa kwa wale watu ambao bado wanasearch au MBA's inakera.Ndiyo maana siku hizi ukiomba namba mwanamke anakwambia nipe ya kwako.

Please remember to call back.

4b015155e1b3215f74aacab08cf5c8a8.jpg



Hivi ndivyo simu zenu huwa zinasubiriwa!![emoji23] [emoji
 
Wanakuwa wanaogopa mizinga,mala tuma nayakutolea,sijala,Kodi ya nyumba imeisha
 
Je hiyo ilikuwa zama zile vyuma vikipo kazwa au mpaka sasa?
 
Back
Top Bottom