Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Mizinga baada ya call ya Kwanzaa. Dia nadaiwa kodi 3m hapa sijui itakuaje wangu
 
kuomba namba ni kanuni ila kipiga ni uamuzi.
yani ukae na ME saa nzima mnapiga stori asiombe namba basi jua we unamkosi.
 
hahaha siringi bwana we naringa nn sasa ! uzi gan nimeonesha kuringa ? haahhaa jaman ! bas mie kila mtu anaenifaham paap huwa ananiambia mbiti ni talkative !bas naongeza na lako kuwa naringa !

yes school fees baba wa kufikia nanyupu atanitumia kwa acc leo !

Unapajua Nanyupu Mozambique?
 
Nimekumbuka tu enzi hizo mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki, mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.

Kwanini unaomba namba na kusave kabisa kama hauna nia ya kupiga?
Inakera mjue.

Kijiweni mashosti nao wakaligusia hili, eti "kuna jamaa kaomba namba kwenye basi wiki sasa hajapiga kabisa, sijui aliomba ya nini mxieee"

Wanaume mjirekebishe bwana kama mtu hautaki mawasiliano nae usiombe namba, inakera halafu ni kama kumchoresha mtu.

Hasa kwa wale watu ambao bado wanasearch au MBA's inakera.Ndiyo maana siku hizi ukiomba namba mwanamke anakwambia nipe ya kwako.

Please remember to call back.

4b015155e1b3215f74aacab08cf5c8a8.jpg

Hivi ndivyo simu zenu huwa zinasubiriwa!![emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujumbe umefika
 
Vizinga 2 hpo
 
Hii huwa inatokea na sababu ni kwamba unaweza ukawa umemzimika MLIMBWENDE ghafla, na akakupa NAMBA yake ya SIMU lakini mkishaachana eneo la tukio, Akili nayo inabadilika na kuamua kupotezea, ikipita Siku mbili tatu na namba yenyewe unaifutilia mbali
 
Back
Top Bottom