Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Iambatana na msimbazi bablaiMimi nimepokea malalamiko toka kwa wakiume kuwa na nyie hamuelewi matumizi ya biziness kadi. Mnapewa halafu hamuzitumii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iambatana na msimbazi bablaiMimi nimepokea malalamiko toka kwa wakiume kuwa na nyie hamuelewi matumizi ya biziness kadi. Mnapewa halafu hamuzitumii.
Ulishampitia!?Noted
Nakupenda bure Princess Hornet
Ni nomaWatu wanafukua tu makaburi
Inakera hii. Nimeshasema ntakutumia, lakini muda wote unapiga kukumbushia na kutuma sms bila kuchoka, hawa watu sijui wakoje. Ukiahidi Tu, inakuwa ni deni.Mpigie ww umkumbushe yaelekea ulimwelewa, Usiogope
Nimekumbuka tu enzi hizo mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki, mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.
Kwanini unaomba namba na kusave kabisa kama hauna nia ya kupiga?
Inakera mjue.
Kijiweni mashosti nao wakaligusia hili, eti "kuna jamaa kaomba namba kwenye basi wiki sasa hajapiga kabisa, sijui aliomba ya nini mxieee"
Wanaume mjirekebishe bwana kama mtu hautaki mawasiliano nae usiombe namba, inakera halafu ni kama kumchoresha mtu.
Hasa kwa wale watu ambao bado wanasearch au MBA's inakera.Ndiyo maana siku hizi ukiomba namba mwanamke anakwambia nipe ya kwako.
Please remember to call back.
![]()
Hivi ndivyo simu zenu huwa zinasubiriwa!![emoji23] [emoji
DM namba ako...we can talkSinaga hizo mambo ..
Ila tenaIlaaa😂