Wanaume mkiomba namba ya simu mpige


Ukiombwa namba na ukakubali kuitoa, girls kuna mambo matatu ya kuzingatia kabla ya kum judge huyo mwanaume kama atapiga kweli na yuko "serious" ama lah!
1. Baada ya kuingiza namba yako kwa contact list yake, kama hajakuflash(beep) au kukutext SMS ili kuthibitisha kama namba ulompa ni sahihi na iko hewani na ni yako sio ya polisi au ya bwana ako, akiisave tu na kusepa....hata usiwe na kihoro cha kusubiria kupigiwa naye, he has gone by the wind
2. Wanaume tunakuwa (sometimes) nervous ( inafichwa tu na ujasiri wa kiume) pale tunapokubaliwa (initial steps) when approaching a beautiful girl! Kwa hiyo akili inaweza kutetereka kidogo na hivyo hata namba unazomtajia akaandika wrongly, or incomplete! Then kama huyu kaka hajafanya yale ya namba 1 hapo juu, then story zitaishia hapo.
3. Regardless of namba 1&2 hapo juu, inawezekana jamaa akawa very busy with other issues za maisha na kijamii, so ile exitment alokuwa nayo initially alipokuona na kuku"feel" imeisha, so hana tena mzuka, kama ni joto tuseme lilifika 100•C alipokuona nakukuomba contacts but under circumstances joto limeshuka to 0•C! Hawezi kukupigia tena. Utangoja milele.
ADVICE!
Ukiombwa namba ukakubali kutoa, wewe usiombe, bali taka upewe yake pia. Akiuchuna unamwendea hewani wewe! Unapandisha upya ile joto to the top!
 
Yani jana nimetoka kuombwa namba nikaikumbuka hii thread nikaishia kucheka mpaka aliyeniomba namba akasmile bila kuelewa ila alinipigia lol
 
Ha ha kwa Mbali unanisema. Yote kheri mkuu
 
hahahahaahahahaahah
 
Mie sipendi meseji jamani,
Yaani mtu akituma sms huwa najikuta napiga ili nisikilize anachotaka kusema nimjibu basi tumalize,
Sms zikiingia nyingi kwangu naona kero,
Sikujua kuna watu wanaboeka na kupigiwa baada ya kutxt!!
Ila muwe mnapiga baada ya kuomba namba
 
ukiona unampa mtu business card akakikataa huyo kashuka na 'najmunisa' !unakataeje business card sasa !km hutoKei tabora,maswa,geita SIJUI!
Hahaaa eti katokea wapi?
 
Hahaha namm nipm namba yako nkupigie [emoji23] [emoji23] [emoji23]

rap beast
Una hela lakini?
Huyu akikupm usimpigie mtumie tu hela akiona sms ya Mpesa atakupigia mwenyewe.
 
Mkulima wa tikiti na business card,
Kweli awamu ya tano ni ya maajabu.
 
Yani jana nimetoka kuombwa namba nikaikumbuka hii thread nikaishia kucheka mpaka aliyeniomba namba akasmile bila kuelewa ila alinipigia lol
Lakn baby mbona mm nmekuomba nikupigie umekausha hata hunijibu PM?
 
Hahaaaa mshatukariri vibaya... Tunafanya makusudi hivyo... Make mnatuzingua sana...

Tuna cut expectations zenu... Na nikikutafuta nakusalimia tuu nduuuuuki
Siyo vizuri bwana..
Mtu anasubiri mpaka anasinzia akitizama simu.
 
Haaaa mazoezi ya confidence,kisha akifuzu anaenda kuyafanyia kwa mwingine?
Ndiyo maana tunawanyimaga namba .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…