Kama title inavyosema,
Wanaume wengi siku hizi mlio kwenye ndoa mnaongoza kwa kulala na wadada wenu wa kazi.
Sasa tunaomba kujua hawa wadada wa kazi wananini mpaka mnafikia hatua ya kuwakosea heshima wake zenu kwa kulala nao tena ndani?
Na mnapokutwa kwanini hamuombi msamaha yakaisha ila mnageuza kibao kwa dada wa kazi na kusema hafai mtafute mwingine?
Nimekereka kweli na jirani yangu leo, jamaa anaonekana mstaarabu baba mtaani lakini kumbe ovyo.
Leo kafumaniwa na mkewe anatembea na dada wa kazi, kazini katoka mapema kwa kisingizio kuwa anaumwa wakati mkewe hajamwambia kama anajisikia vibaya na anarudi nyumbani.