uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,657
- 2,406
Wakiishaolewa kwa ndoaYaani mwanamke anipangie sehemu ya kumshika,labda sio Mimi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
wanaona ile kuitwa "pingu za maisha"
ni sawa na zile pingu za polisi,
kwamba tayari umeishabanwa
mambo mengine si muhimu
maana umeishaingia king
kumbe watu wanaanza kutafuta
vilivyomo ndani ya hiyo king.