Sasa unakuta mwanamke hutaki kuguswa kila sehemu, kunyonywa titi hutaki, kupapaswa hutaki, utasiki "usinuguse huko, titi zinauma, fanya haraka mie nilale nk..." halafu unataka uandaliwaje? ....Mimi sio pumbavu ila nyie waume ndo huanza kuharibu nyumba ujue mapenzi ni hisia wewe unanikwanza hujaniandaa unataka ngono na nyie wanaume huwa rahisi kusahau maudhi yenu kwetu nyege zikiwapanda unataka nikupe tu si bora uende tu kwa huyo beki Tatu maana ndo solution na Mimi nitafta mwingine maana mume kuchepuka hakupendi sasa ili Ku neutralize hali dawa nikutafta na wewe wakukupunguzia machungu na nyie mubaki na beki Tatu. Hafu nyie mwataka kuchepuka wake zenu wakichepuka mwawa wakali. Mi baby wangu akichepuka mi ni date marafiki zake hadharani tuone[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Halafu unakuwa kama gogo tu kitandani! Mwanamume anahangaika peke yake, mwanamke hata kushtuka hakuna. Mwanamume anavumilia wee mwishowe anaona upuuzi huu, hatimaye anatafuta alternative.
Mbona beki 3 ukimgusa tu, tayari kashakukumbatia na mambo mengine yanaendelea na hakuwekei mipaka?
Wanawake jirekebisheni ikiwezekana muitane mpeane semina. Maana wanawake wa dot com hata unyago humpitii. Sijui hata kwenye kitchen party huwa mnafundishwa nini?