Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Sasa unakuta mwanamke hutaki kuguswa kila sehemu, kunyonywa titi hutaki, kupapaswa hutaki, utasiki "usinuguse huko, titi zinauma, fanya haraka mie nilale nk..." halafu unataka uandaliwaje? ....
Halafu unakuwa kama gogo tu kitandani! Mwanamume anahangaika peke yake, mwanamke hata kushtuka hakuna. Mwanamume anavumilia wee mwishowe anaona upuuzi huu, hatimaye anatafuta alternative.

Mbona beki 3 ukimgusa tu, tayari kashakukumbatia na mambo mengine yanaendelea na hakuwekei mipaka?

Wanawake jirekebisheni ikiwezekana muitane mpeane semina. Maana wanawake wa dot com hata unyago humpitii. Sijui hata kwenye kitchen party huwa mnafundishwa nini?
 
Kuna kiumbe asiye mlalamishi kama mwanamke...." hata umpe dunia nzima na mbingu yote bado atalamika tu".
Hampendi kuwa sikiliza na kufanyia kazi yale mnayo ambiwa mnapuuzia ndiyo maana wanalalamika
 
Ulaaaaaanikeeeee
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji2] kumbe ngoma droo anakuwa kamaliza huko kama ni hivyo hakuna shida ni kukomoana tu
Na akili hii ndio imefanya ndoa nyingi ziende ICU yani. Ndoa ni swala la furaha aisee. Inapotokea mmoja wenu anaona kama anamfanyia favours mwenzake (selfishness) mitihani huanzia hapo. I think ile dhana ya committment ama kujitoa haipo tena katika ndoa za sikuhizi bali ni mashindano.

Nani mwenye wadhifa amkomoe mwenzake ndio style ya ndoa zetu za kileo. Hamna ile kuchukuliana kwa upendo kuwa mume wangu ananihitaji sahivi nijitahidi nimhudumie tu ata kimoja alale japo nimechoka. Sio kutoa jibu jepesi tu sa kama nimechoka nifanyeje na kumpa mgongo.
 
Hilo neno wake wanachukua wenye hadhi si kila siku wanakutana huko mtu anajiuliza yule bwege nyumbani ananisumbuq wakati huku anakutana na watu wamaana lenyewe midevu uso mzima hata mapenzi halijui tu kutwa usumbufu pesa yenyewe shida kwanini usinyimwe, mwanaume mwenye akili hawezi msifia beki 3 kuliko mkewe
 
Ni ujinga uliopitiliza [emoji39] [emoji39] [emoji39] mie simwamini mwanamme % zote katu
Nini % zote hata zero simuamini mtu anaitwa mwanaume analala na papuch usiku Kucha anaamka anazua safari kumbe anaenda hoteli kugegeda papuch tena looh naanzaje kumuamini mwanaume
 
Wengi hawasikilizwi wanaume wanatumia ubabe tu mwisho wake ndiyo kuchokana waburuzane na huko jikoni na kwenye michongoma wake wenyewe wanapelekwa sehemu zenye hadhi
 
Reactions: naa
Wengi hawasikilizwi wanaume wanatumia ubabe tu mwisho wake ndiyo kuchokana waburuzane na huko jikoni na kwenye michongoma wake wenyewe wanapelekwa sehemu zenye hadhi
Tatizo wao wanajifikiria wao tu haja za mwili kuliko wenzi wao matokeo yao mambo yanashindikana licha ya kuchepuka wao ndo huwa wahanga wakubwa kuliko wake zao.
 
Nini % zote hata zero simuamini mtu anaitwa mwanaume analala na papuch usiku Kucha anaamka anazua safari kumbe anaenda hoteli kugegeda papuch tena looh naanzaje kumuamini mwanaume
Hawa viumbe sio wakuwaamini kabisa ni bora kuishi nao kimachale chale tu yeye ahangaika na mchepuko na wewe wajiandaa na yako siku ukimshtukia analazwa ICU
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] halafu niwamaana kuzidi yeye sipati pic maumivu halafu anaogopa kukuacha maana watachukua mazima mweeee
 
Tabia mbovu yakutokujiheshimu kwa kweli Dada wa kazi aliwahi ambukiza baba na wanawe waliokuwa wana balehe
Ona sasa mjinga nani hapo kama majuha vile kizazi cha manyani
 
Kuna wanaume wana pewa equal treatment kujaliwa lakini ndo michepuko haiishi so kuchepuka ni umalaya tu hauhisiani na kujaliwa mapenzi hujengwa na wawili mi nikipata watoto kwa kweli mwanaume chepuka utakavyo utajiju babu eeeh
Sababu kubwa ya mwanamume kuchepuka ni uchoyo wa mke wake. Sababu zingine ni mwanamke kutomjali mumewe mfano unatoka kazini na begi lako la computer mkeo kakaa tu, anamwagiza house girl akupokee, kisha anamwagiza house girl akutengee chakula. Mbali na hapo nguo zako zote hadi za ndani zinafuliwa na house girl, chakula anakupikia house girl.. nk. hivi hapo unategemea nini?

Wanawake amkeni labda mtaokoa jahazi, dakika za mwishoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…