Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Hahaha nadhani unajitetea Mkuu...
 
Kwa MTU kama wewe mwanaume wako lazima achepuke aisee hata ningekua Mimi... Maana si kulalama huko. Nani kakwambia mwanaume akilala na beki 3 inamaanisha we hufai? Ungekua hufai usingeolewa kabisa ukaishia kudanga. Tatizo wanawake hamjiamini kabisa kwanye ndoa zenu.. Tunawapenda sana wake zetu Lakini mnalalamika sana wengine hadi mnaanika madhaifu ya wanaume zenu hata huku kwenye media. Hata mfanyiwe nini hamriziki hata siku moja isipokua wachache. Ili kuondokana na stress ndio mana Mwenyezi Mungu akaruhusu tuoe wake zaidi ya mmoja. Huyu akikupa karaha unaenda kwa Huyu alotulia siku hiyo. Sasa kwa kua kuoa kunakua kugumu ndio mana wengine wanajisevia kwa beki 3 na wengineo. Wanawake mna maudhi sana acha tu...
 
Na sisi tutakuwa tunawazalia wana wanaume wengine mlee vzuri wakikua twamaga hadharani
Poa poa, hapo ngoma droo hakuna kulaumiana lakini elewa DNA tests zitakuja kukuumbueni siku moja.
 
Tena Mimi baba mtoto akifanya nampandisha beki Tatu hadhi ya mke wenza mana mume hanisumbui papuchi yangu namuwekea danga lingine lifaidi
Hahahahaha! Nakuonea huruma bibie, utatumika weye!
 
Upo sahihi sana, kumbuka ushoga ulipoanza kutangazwa na baadhi ya medias, angalia nn kimefuata kipindi hiki, kukutana na shoga nje nje ni kitu cha kawaida, ukiingia mahotelin na hata kumbi za starehe ie Night clubs...wamejaa....sasa hizi nyuzi hizi.....Damu ya Yesu itusaidie tunayoijua maana yake.
 
Dhambi, na umeshaingiza ndoa yako kwenye laana mbaya...unaweza usione madhara sahv, lkn yaja....bila kutubu itasumbua...hakuna ulinzi wa Mungu kwenye ndoa yako....pole
 
Sababu ni uvivu hamna kingine aisee.
Uvivu utoke wapi, kashinda na watoto nyumba kaingalia vizuri umekula umefanyiwa vitu vinavyotakiwa kwanini usiende naye taratibu! Hivi wewe usipokuwa vizuri anaweza kukulazimisha na uka perfom vizuri geuza uwe wewe halafu yeye aende kubanjuka wewe unajisikia vipi, neno lenyewe lasema msinyimane na muwe na kiasi ili mpate muda wa kumtafuta Mungu
 
Mm beki tatu yupo sana, na sio kwamba ni wa ajabu, lkn kitu kimoja kinachonisaidia, Nimejikita ktk imani ya hali ya juu ya Kimungu....hvyo naamin kabisa nikimgusa ndoa yangu sio kitu tena....ni dhambi....najua maana ya ndoa iliyounganishwa kiroho madhabahuni ....kuingizwa rohoni sio mchezo, ukizini, utahitaji uponyaji wa hali ya juu sana kurudisha ndoa yako mahali salama.....In short Nimeokoka, nafurahia sana ndoa yangu, kuliko tamaa.
 
Vipi kuhusu wale wanaocheat tu bila sababu zozote, unakuta mume anajali anahudumia ila mwanamke ni cheater hatari!
Na je wale wanaume wanao cheat hovyo mpaka na mabeki 3 bila sababu wakati wake zao hawana shida yeyote wanatimiza majukumu yao kama kawaida? Ndiyo hapo linapokuja swala heshima ni kuheshimiana pande zote ili ndoa zidumu
 
Beki tatu si unagusa mara moja moja ukiwa free, hasa baada ya kutoka mihangaikoni.
Hata kama ni mke unaweza ukafanya hivyo mfano kuna watoto baba ukirudi watoto wanakupokea mpaka chumbani mnaingia nao utafanya nini hapo na mkeo, laa mpigie simu mkeo nakuja nikute hapo safi mama hawezi shindwa kujipanga lakini unarudimakili zote unamuaza beki3 nyumban3 tusilaum upande mmoja hapo kuna kitu kina kosekanika mawasiliano ni mdogo sana kati ya mme na mke
 
Umeona eeeeh sema tu wanawake huwa hatuongei unakuta uko na mume anakibamia hajui mapenzi akiingiza tu kimelala sasa ukiskia anatoka na michepuko unacheka tu moyoni mana mchepuko hauna siri
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nilipata sikia mama analalamika yaani mme wangu nikuingia tuvnakutoka lakini michepuko kila kona, akaambiwa wale wanafuata pesa sio penzi wanalizishwa na wengine, mwingine eti haa yule nilienda kumridhisha tu maana nilishakula pesa zake vyakutosha kanipaka ushafu tu mie pesa tu piga pic mke ukisika hivyo aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…