Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Anamharibu mtoto WA watu, piga picha ni mwanao ndo anafanyiwa hivyo, harafu mtu anaongea proudly kabisa. Dunia hii jamani
.... Thats my experience. Napenda kuongea na mdomo wa moyoni... Huu mdomo wa juu ya kidevu ni wa kudanganyia tu...
 
Acha Mara Moja, muogope Mungu wako, una watoto pia, vihurumie vizazi vyako
Basi bhana.
..... Nimesimamisha kwa muda huu utafiti mpya.... Naendelea na quickies zangu kama kawaida na B3 wangu... Nilitest tu zari kuona juu ya mawingu kuna nini.?
 
Anamharibu mtoto WA watu, piga picha ni mwanao ndo anafanyiwa hivyo, harafu mtu anaongea proudly kabisa. Dunia hii jamani
Hawajui hilo, kama jinsi umfanyiayo huyo mtoto unatengeneza laana fulani kwa watoto wako halafu umezaa wakike hata kama hatafanya kazi ya beki3, huko maofisini mashuleni haya acha waendelee tu
 
... Ndo ukweli lakini.. Basi ngoja tuache tu... Haya mambo mengine bhana.
Ni noma
Sio vizuri hapo nawewe unazaa unazani unajenga ninin katika familia yako? Embu jirudi kidogo piga pic mtoto wa ndugu yako awe anafanya kazi kwa watu anafanyiwa hayo unajisikia vipi.[emoji44]
 
Hiii nayo Kali
 
Sio vizuri hapo nawewe unazaa unazani unajenga ninin katika familia yako? Embu jirudi kidogo piga pic mtoto wa ndugu yako awe anafanya kazi kwa watu anafanyiwa hayo unajisikia vipi.[emoji44]
... Basi... Basi. Nimekuelewa kwa nasaha zako. Ndo uzuri wa JF. Tunaelimishana na kuonyana... Sasa hebu nambia.. Niepukana vp na huyu B3 wangu? Maana kanikamatia pazuri kweli. Na huyu bibie wangu mvivu kweli wa mambo fulani... Unyumba kwa ratiba. Heshi visingizio.. B3 wangu, mwenyewe anytime nikitaka natulizwa kiu. Nina mitihani kweli jamani.
 
Nashukuru kwa kunielewa na kupokea mchango wangu, sasa hao wake zenu mnawatoaga wapi jamani wavivu hivyo? Embu ongea naye mtoe hapo mwambie kinaga ubaga huyo beki3 ukirudi jitahidi msikae naye peke yenu, kama mkeo hayupo kaa chumbani, msiwe wawili mwambie akae mbali nawe mkeo kaanza kushitukia kitu ataacha tu mnaaibisha wake zenu
 
Madingi ndio zao sana tu.

Inshaallah. Akhsante sana. Nashukuru. Ngoja nianze kumuepuka huyu B3 wangu. Maana kwa muelekeo huu... Huko mbeleni naona kuna matata makubwa yatatokea tu. Daah ila kabint katamu kweli haka!
Au nikafanyie figisu tu, nikaondoe hapa home. Akiwepo hapa itakuwa shida. Kwani kananifariji sana
 
Kama unaona kuna shida itatokea huko mbele mtoe tu japo anatafuta maisha lakini angalia na ndoa yako
 
Nabii Tito
 
Anatokea wapi huyo????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…