Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Hapo anamjua vilivyo, kuna wengine mpaka mashemeji zake, kama unamjua hajatuliaAaaa labda ivyoo...
huwezi muacha mdogo wako ukasafiri utakuta manyoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo anamjua vilivyo, kuna wengine mpaka mashemeji zake, kama unamjua hajatuliaAaaa labda ivyoo...
Daah wanaume ila Mungu anawaona yaan kwangu ntaweka houseboy kwa kwelii[emoji54][emoji54]mambo ya kuleteana presha sitakii..Hapo anamjua vilivyo, kuna wengine mpaka mashemeji zake, kama unamjua hajatulia
huwezi muacha mdogo wako ukasafiri utakuta manyoa
Hahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahaa ulikuwa hujui, unaona dada katulia tulii kumbe mmeo anabembea hapo, ulizani ke hajiamiani alipima upepo[emoji28] [emoji28] [emoji28],usiku mwema.Daah wanaume ila Mungu anawaona yaan kwangu ntaweka houseboy kwa kwelii[emoji54][emoji54]mambo ya kuleteana presha sitakii..
Naenda kusemaMm nimekula beki tatu wangu miaka kama 3 hivi na si kukamatwa, and nlichogundua tu, ni kwamba baada ya kuanza kula beki3, upendo na mke wangu uliongezeka kwani nlimpenda zaidi, pia tukawa hatugombani mara kwa mara maana nlikuwa nawahi kurudi yaan nikitoka tu job narudi home. Maana nlikuwa napenda kuwa karibu na beki tatu wangu. Yaan nlikuwa nikimsikia anacheka, ama anaongea najiskia raha sana. Beki tatu hasumbui ukitaka mzigo yaan anytime, anywhere, in short unapewa hata mara tatu kwa siku. Njia kuu usumbufu mtupu. Kaondoka beki3 wangu saiz kurudi hom mpaka giza liingie
Na cha kushangaza wife na beki3 walikuwa marafiki kinyama yaan wanapendana balaa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aya ban na kwako piaHahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahaavulikuwa hujui, unaona dada katulia tulii kumbe mmeo anabembea hapo, ulizani ke hajiamiani alipima upepo[emoji28] [emoji28] [emoji28],usiku mwema.
Amina kubwa [emoji120] [emoji120][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aya ban na kwako pia
Yani Mimi ndo siaminigi kabisa haya mambo eti niondoke nyumbani nimuache shoga au wadogo zangu ctaki kabisa mambo za kugombana na ndugu na marafiki kisa mume heri kuepusha mapemaHapo anamjua vilivyo, kuna wengine mpaka mashemeji zake, kama unamjua hajatulia
huwezi muacha mdogo wako ukasafiri utakuta manyoa
Kama ndo hivyo wewe mwenyewe una matatizo na mumeo. Maana mume hawezi kufanya ushenzi kiasi hicho kama wew unawajibika vizuri na kuitumikia nafasi yako kama mkeweYani Mimi ndo siaminigi kabisa haya mambo eti niondoke nyumbani nimuache shoga au wadogo zangu ctaki kabisa mambo za kugombana na ndugu na marafiki kisa mume heri kuepusha mapema
Mkuu kuna wanaume wengine ni Pasua kichwa kiasi kwamba hata umfanye mini bado atatamani tu vya nje yanKama ndo hivyo wewe mwenyewe una matatizo na mumeo. Maana mume hawezi kufanya ushenzi kiasi hicho kama wew unawajibika vizuri na kuitumikia nafasi yako kama mkewe
Yawezekana wapo.ila wengine kuchepuka mpaka akiwekewa mashariti ndani. Mara kwa wiki maramoja, wengine kwa mwezi mara mbili. Basi unafanya swap wewe ukibana mwenzako anapanuaMkuu kuna wanaume wengine ni Pasua kichwa kiasi kwamba hata umfanye mini bado atatamani tu vya nje yan
Utakua umepigwa kitu cha limbwata wewe co bure.mhulize wife vizurimi sijuia kwanini sijawahi kuwatamani hawa wadada wa kazi sijui kwa nini yani ntakua na matatizo mimi wakuu au.. halaf ni wa hapo singidani yani watoto wazuri aisee lakin kwenye swala la hisia siinaga kabisa au mama tonny kanifanyia nini sijui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msyuuuu unakeraaaa yani unakeraa
AmeghadhibikaTulia mamaa,unaona wivuuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
RelaxHahahah haya
We Jamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mara usininyonye Kissimmee unanipaka mimate. Maliza haraka nilale. Usinishike Chuchu zinauma...kumbe kuna jitu lilikuwa linazinyonya mchana kutwa.
Kizur kula na wenzioYani Mimi ndo siaminigi kabisa haya mambo eti niondoke nyumbani nimuache shoga au wadogo zangu ctaki kabisa mambo za kugombana na ndugu na marafiki kisa mume heri kuepusha mapema
Aaah nani anaeweza kutulia tu wakati anajua mwenza wake anakula au kuliwa na mwingineKizur kula na wenzio
Kwanini awe hajatulia?Hapo ndo mkae mjadiliAaah nani anaeweza kutulia tu wakati anajua mwenza wake anakula au kuliwa na mwingine
Ndugu yangu kuna namna umeathirika kisaikolojia, Jaribu Kukaa na mkeo mwambie vile unajisikia Au unataka awe Nadhani atabadilika na kuwa mwanamke unayemhitaji labda awe pia analazimika kuwa na Wewe bila upendo kwako, Nampa Inawezekana kabisa hampendani Ndiyo Maana kila mtu Yuko na njia zajeMsilinganishe beki tatu na vitu vya kipuuzi
Utashangaa Unakufa Wewe unamwacha mkeo, Ndo kusema humpendi kiasi cha kumuombea kufa. Mungu wetu akusaidie aysee, jitafakari ndugu yanguNimemla beki tatu wangu zaidi ya miaka miwili hadi tumezoeana na wife ametumia njia zote za upelelezi lakini ameshindwa ila tatizo analo moja la wivu ana wivu balaa natamani hata wife afe ili nimuoe yeye kwa sababu sifa zote anazo hasa kwenye 6x6 huwa ninakakunja kanabaki kama tyre bajaji