Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Maana nikiwa nayo ningeshawishika one day kmpigia. I dont like that behaviour. Yaan nikimove out nimetoka kweli
 
Guys hivi mwanamke ukimgegeda huwa anapatwa na nini mi sielewi. Im 38yrs but I look yuounger, beki 3 wangu ana 19yrs sasa, nimempiga chini katafuta namba ya rafiki yake akanipigia nayo nikaipiga ban, amegoma kula kwao, imebidi akanishtakie kwa dada yake. Dada mtu kanipigia simu kaniambia mdogo wake katishia kunywa sumu endapo nitaendelea na msimamo wangu. Imebidi nimfungulie namba yake. Anasema Im everything to her japo nina mke na alikuwa amegawa namba yake sababu ya ujinga tu. Anasema yupo tayari kubadilika japo nimemkazia. Sasa nikawa najiuliza at my age na yeye ndo bado mdogo sana posibly mdogo wanu kama wa sita hivi tena kwa uzazi wa mpango wa 3yrs maana anazaliwa mm nina umri kama wa kwake. Mara ingine nejiuliza hana ishu na mm anachotaka ni ahadi zangu nlizomwahidi, na kunichuna hela tu.
 
Bahati mbaya sana huwa sina cha kupoteza coz pesa huwa napata ya kutosha tu kila mwezi kulisha fsmilia yangu na kumlipia ada first born wangu. Na ninabaki na kidogo ya kusumbua watoto wenye tamaa. Sema huwa napenda kumweka vizuri tu dem anayenitunuku mashine yake ili ikiwezekana akichepuka asisingizie hakuwa na hela ya matumizi. So nikigundua anacheat with no reason huwa nawithdraw with no notification. Sababu nina access nao hawa kuchukua mwingine haichui hata week
Utajichosha bure hizo nguvu unge wekeza ungekuwa mbali ukiendrkeza tamaa huwa haziishi mwishowe unapata mawazo hyo hela mpeleke mwanao fedha
 
Ukiona hvo humshiki ipasavyo unamuumiza tu ndo maana, Tatizo mnakariri sana si kila mwanamke anahisia sawa, mtu unakuta jitu limekuboa afu unajua akipanda ataanza kuviringa chuchu kama anatafuta chanel kwenye radio mbao hyo ham ya sex inatokea wapiiiii? em mjitathimini kwakweli!
Wanaume wengi hawako romantic wao nikuchomeka tu ndo wanajua kwanini hamu isiishe
 
Natafuta mwingine kaka wapo wengi tu hawa. Kazingua mwenyewe. Mi huwa nina kiburi dem akinilietea kujifanya superstar
Hahaaaa inaonyesha umeumia sana na kamwe hutatulia nakuwa na amani [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] eti una kiburi sasa ulitaka umumiliki wewe tu ngoja nikuitie huyu mtaalamu wa saikolojia@Educationmentor
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sasa wewe unaumia na mchepuko ili nini kwanza kumchunga ni kumchakaza wewe ukiwa na mkeo unafikiri yeye huwa na Nani hapo yeye kakuroga bwege lake umuwezeshe tu kufika mahali, sipati picha ulivo na stress watamani kumwambia mke wako
Hahaha mkuu una utani wa ngumi assee na ukitaka kujua mwanaume ana stress kiasi gani agombane na mchepuko wake
 
Wanawake hua mna classses, yani akili ya mwanamke ina classes, akishakua na level flani hivi ya maisha basi hujiweka kwenye hiyo level.

Inapokuja swala la mwanamke, mwanaume hana class, awe beki tatu, awe waziri au rais wote ni wanawake, kinachowafanya kua hvyo sio vyeo vyenu bali ni kyuma.

Mwanaume hana class kwenye kyuma, kyuma zote ziko sawa. Ndio maana anaweza kua na mwanamke mzuri na mwenye hadhi kubwa ila akatafuna beki tatu ambae hana mbele wala nyuma.

Mshedede ukiamka hua hauangalii hii kyuma ni ya nani, iwe ya beki tatu au yoyote kikubwa iwe kyuma tu.

Nachojua beki tatu wengi bado wanakua wabichi, bado wana ladha fresh, bado misuli yao ya uke iko tight na mnato.

Sababu kubwa nyingone ni mahubiri ya Nabii wa Mwisho na Nabii wa kweli Nabii Tito.
umepatia sana hapa wasipojiongeza na mimi nikioa nakula tu.
 
Bahati mbaya sana huwa sina cha kupoteza coz pesa huwa napata ya kutosha tu kila mwezi kulisha fsmilia yangu na kumlipia ada first born wangu. Na ninabaki na kidogo ya kusumbua watoto wenye tamaa. Sema huwa napenda kumweka vizuri tu dem anayenitunuku mashine yake ili ikiwezekana akichepuka asisingizie hakuwa na hela ya matumizi. So nikigundua anacheat with no reason huwa nawithdraw with no notification. Sababu nina access nao hawa kuchukua mwingine haichui hata week
Yani hapa ndo ninapowashangaaga wanaume so wew unacheat ila Hugo dem akicheat ndo balaa,,muda ambao wew unakua na Mrs yeye awe na nani au huwa mnafikiri hao mademu hawana mioyo
 
Guys hivi mwanamke ukimgegeda huwa anapatwa na nini mi sielewi. Im 38yrs but I look yuounger, beki 3 wangu ana 19yrs sasa, nimempiga chini katafuta namba ya rafiki yake akanipigia nayo nikaipiga ban, amegoma kula kwao, imebidi akanishtakie kwa dada yake. Dada mtu kanipigia simu kaniambia mdogo wake katishia kunywa sumu endapo nitaendelea na msimamo wangu. Imebidi nimfungulie namba yake. Anasema Im everything to her japo nina mke na alikuwa amegawa namba yake sababu ya ujinga tu. Anasema yupo tayari kubadilika japo nimemkazia. Sasa nikawa najiuliza at my age na yeye ndo bado mdogo sana posibly mdogo wanu kama wa sita hivi tena kwa uzazi wa mpango wa 3yrs maana anazaliwa mm nina umri kama wa kwake. Mara ingine nejiuliza hana ishu na mm anachotaka ni ahadi zangu nlizomwahidi, na kunichuna hela tu.
Mkuu hujatujua wanawake vizuri kaa utusome sawa sawa hizo ni drama unachezewa tu
 
Hahaha mkuu una utani wa ngumi assee na ukitaka kujua mwanaume ana stress kiasi gani agombane na mchepuko wake
Kabisa walah mi najua sometimes michepuko huongeza shida maana hata ukiwa nayo kumi akiwa na mwingine mwanaume atajiuliza nakuumia INA maana simfanyi vzuri, au nakibamia ndo maana kaenda kwa mwingine[emoji2] [emoji2] [emoji2] matokeo yake anakuwa ana feel guilty mno
 
Yani hapa ndo ninapowashangaaga wanaume so wew unacheat ila Hugo dem akicheat ndo balaa,,muda ambao wew unakua na Mrs yeye awe na nani au huwa mnafikiri hao mademu hawana mioyo
Baeleze baelewe aisee imagine maumivu anayoyapata kweli wanaume wameumbwa mateso yake anataka akumiliki yeye na uzee wako hafu mchepuko asitafte damu mbichi
 
Kabisa walah mi najua sometimes michepuko huongeza shida maana hata ukiwa nayo kumi akiwa na mwingine mwanaume atajiuliza nakuumia INA maana simfanyi vzuri, au nakibamia ndo maana kaenda kwa mwingine[emoji2] [emoji2] [emoji2] matokeo yake anakuwa ana feel guilty mno
Na ndo wakome mi mwanaume akitendwa na mchepuko wake alafu nikajua nacheka kimya kimya na kumfanyia kusudii juu

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom