Guys natumai mu bukheri wa afya njema. Weekend nliwaaga naenda kutana na mpenzi wangu, ambaye alikuwa beki3 wangu. As I told you before huyu mtoto ni mzuri sana. Na aliletwa kwangu kufanya kazi ikiwa ninsehem ya kumresque na baba yake mzazi ambaye alikuwa anamtongoza.
Kama kawaida aliaga kwao kuwa anaenda kutafuta chuo cha kusomea cherehani, na nlikuwa nimemwambia akipata nitalipa ada nangharama zingine zote. Basi nikamchukulia form na kwa vile mpango ulikuwa umeshaandaliwa mm nlikuwa nishapiga simu na form ninayo mkononi. So nlikaa naye siku 2 hotelini najilia tu vitu adimu. In short nlienjoy sana. Pia kwa vile tulipotezana kwa takriban mwezi hivi bila mawasiliano kwani hapa kwangu ilikuwa marafuku kukaa na simu coz hapo nyuma nlimpa simu akawa na matumizi sio mazuri nikamnyanganya, basi nikawa nimemchukulia smartphone nzuri ya laki moja hivi kama zawadi kwa kuendelea kunitunuku tunda lake. Tumemaliza yetu tukapanda bus kurudi tukiwa na furaha tu. Jana nimempigia simi saa tatu nikakuta simu bize, saa tatu na dk15 bize,23:30 bize,23:45 bize,22:00 bize, 22:20 bize. Nikazima simu nikalala.nikaacha sms unaongea na simu all the time saa nzima na nusu unaongea biashara gani usiku wote huu. Na unaongea na nani. Sikujibiwa.asubuhi nimempigia simu nikamuuliza kasema simu ilikuwa chaj. Hivi ninavyoongea ndo nimemaliza kublacklist namba zake, na kuzifuta kabisa. Sijamwambia kitu