Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,501
- 6,649
Kumbee🤔Wanaume mliooa
Mchezaji anayecheza mara kwa mara lazima awe imara na mwenye nguvu na bora uwanjani!!View attachment 3466129
Mtangazaji anayetangaza mara kwa mara lazima awe imara pia
Vile vile kwa wahubiri wanaohubiri mara kwa mara wanakuwa vizuri
Hayah nimemaliza sitaambia kila kitu!!
Hakikisha mke wako ni msafi
Kama mkeo hajui hata kutandika kitandani
Vita pumzi kisha unywe juisi ya parachichi ujipe pole!!
Asili huponya
Wewe tenaSawa mwalimu!
Kasongo mbona wewooo??
Hapo si gesti mkuu na sabuni ya Eva kwenye taulo?Wewe tena
Wakaka
Wanawake wanatuchukulia kama
🤣🤣Naona mkuu umeamka mnara umesimama
Unatafuta mahali ukachomeke fegi yako