Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
Niende kwenye mada.
Unajuwa mila na desturi zetu za ki Afrika ni mara chache sana kwa jinsia ya kike kumwambia mwanaume kama anampenda.Mara nyingi mwanaume ndio tunao anza kuwatongoza hawa viumbe wa kike,lakini kuna wakati hali inakuwa tofauti kabisa kuna wanawake uvumilivu unawashinda hivyo huamua kufunguka.
Kwa upande wangu hadi kufikia umri wangu huu nimewahi kutongozwa na wanawake tofauti mara nyingi sana sikumbuki idadi.Mtaani kwetu kuna wasichana wengi wamefunguka kwangu kuwa wananipenda lakini hali ilizidi kuwa ngumu kwa wadada nilipofika sekondari pia.
Wanawake wengi wananipenda wanadai mimi ni handsome boy.Huwa wanashindwa kuvumilia hivyo huamua kufunguka.
Sijawahi kukataa mwanamke akinitongoza huwa nawakubali na kula matunda yao hata kama sina hisia nae.Mwanaume rijali hachagui tunda kama lipo fresh.
Je,wewe umewahi kutongozwa na hawa viumbe wa kike, ulijisikia vipi?
Je, wewe m dada uliwahi kumtongoza men?