Wanaume mliowahi kutongozwa na wadada/wanawake mlipokeaje mtongozo huo?

Umesoma udsm na hujui tofauti ya lecture na lecturer?unatia aibu chuo chetu cha taifa.msemaji wa wakulungwa!
Wanawake wengi hawana confidence ya Kumtongoza Mwanaume, Wengine Wanajitahidi Kuonyesha ishara akiona hauna Muda nae anaanza Kuleta Visa.. Kuna lecture Mmoja pale Udsm alikuwa ananitaka Kimapenzi Ila Mimi nikampotezea maana halikuwa Mke wa Mtu, baada ya Kuona nimempotezea akaanza Kuniletea Visa na Mikasa na Kunizushia majanga Kibao. Mwanamke akikutongoza alafu ukamkataa jiandae Kupokea Upinzani Mkali hawakubaligi Kushindwa Kilahisi ..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ishawai kunitokea zaidi ya mara moja, naonaga maajabu tu yaani huwa sielewi na sijawai kuilewa na sijawai kudate mwanamke aliyenitongoza.. ni bora anionyeshere ishara af nijiongeze (kama nimemwelewa kimya kimya) na hii imewahi kunitokea. kumkubalia naonaga kama na fake ivi, kwanza nikikubali mwanamke akintongoza kwanza technicalities za kudate ata handle yeye au yaan io motivation sina. so dahh sijawai, sifikirii na haitokuja kutokea ku date na mtu ambae ananipa sound zote..
 
Niende kwenye mada.

Unajuwa mila na desturi zetu za ki Afrika ni mara chache sana kwa jinsia ya kike kumwambia mwanaume kama anampenda.Mara nyingi mwanaume ndio tunao anza kuwatongoza hawa viumbe wa kike,lakini kuna wakati hali inakuwa tofauti kabisa kuna wanawake uvumilivu unawashinda hivyo huamua kufunguka.

Kwa upande wangu hadi kufikia umri wangu huu nimewahi kutongozwa na wanawake tofauti mara nyingi sana sikumbuki idadi.Mtaani kwetu kuna wasichana wengi wamefunguka kwangu kuwa wananipenda lakini hali ilizidi kuwa ngumu kwa wadada nilipofika sekondari pia.

Wanawake wengi wananipenda wanadai mimi ni handsome boy.Huwa wanashindwa kuvumilia hivyo huamua kufunguka.

Sijawahi kukataa mwanamke akinitongoza huwa nawakubali na kula matunda yao hata kama sina hisia nae.Mwanaume rijali hachagui tunda kama lipo fresh.

Je,wewe umewahi kutongozwa na hawa viumbe wa kike, ulijisikia vipi?
Je, wewe m dada uliwahi kumtongoza men?
Duuh asee
 
ishawai kunitokea zaidi ya mara moja, naonaga maajabu tu yaani huwa sielewi na sijawai kuilewa na sijawai kudate mwanamke aliyenitongoza.. ni bora anionyeshere ishara af nijiongeze (kama nimemwelewa kimya kimya) na hii imewahi kunitokea. kumkubalia naonaga kama na fake ivi, kwanza nikikubali mwanamke akintongoza kwanza technicalities za kudate ata handle yeye au yaan io motivation sina. so dahh sijawai, sifikirii na haitokuja kutokea ku date na mtu ambae ananipa sound zote..
Hahaha
 
Back
Top Bottom