Wanaume mmepitwa mapenzi na mahaba na Jogoo

Wanawake wenye vimidomo vya hivi ndiyo wakubutua kama unarudisha tairi na pancha
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna msemo rafiki yangu mkongomani alikuwa anawaambia watu "usiwe kama jogooo, kazi yake kuzalisha lakini hawajibiki kutunza watoto wake wala mwanamke wake".
Unataka binadamu tuige tabia za jogoo?
Pale anapoitia chakula ndiyo utongozaji wake, akishampanda Mara kadhaa hana habari naye anatafuta mwingine.
Jogoo hana pesa wala mali anaokota vya bure. Binadamu lazima apambane Sana kuvipata vya kuongea hivyo haongi kizembe au hovyo hovyo.
 
Ni kwa kuwa umeanza kufuga hivi karibuni, na hujayajua msjogoo mengi.
 
We Dr. Mariposa hayo mambo ya wanaume umeyajuaje? Na wewe unamfanyia hivyo mwenzio?? Au na wewe unafata mfano wa jogoo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…