Wanaume mmepitwa mapenzi na mahaba na Jogoo

Kama jogoo unamuona anatuzidi, si uende akuwowe yaishe? Hata. hivyo, namshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH mwanamke mwenzio ambaye siku zote ameonyesha hili kwa kutoandamana na nonihino wake.
 
Jogoo hamuachi jike wake hata iweje, umeona sasa hadi jogoo anajua ili kumpata mwanamke sharti utoe chochote kitu ila nyie mkiombwa buku tu mnafungulia nyuzi mia mbili kwa saa
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Utasikia wakuu za sahizi
Huyu demu nilimuomba namba nikamtongoza baada ya siku mbil akaniomba buku hivi huyu anafaa kweli๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mbona sisi tunafanya zaidi ya haya sema tu nyie hamuyaoni na kingine zaidi, tunachinja huyo huyo jogoo kuwalisha kipindi mkiwa wajawazito. Tunawafanyia vituko pale tunapotambua kuwa mimba si zetu ila jogoo ana uhakika kuwa mimba ni yake maana hana kazi ya kufanya zaidi ya kushinda na wake zake na kuwadanganya kwa kuwaitia chakula ambacho mara nyingi kunakuwa hakuna anawadanganya tu ili awapande. Sisi hatufanyi hivyo, tunawaletea pizza na vyakula mvitakavyo. Je, unataka kunifuga nikupe mapenzi ya uhakika?
 
Una majike manne na jogoo mmoja [ ndoa za mitala hizo}
Point zote 1-4 jogoo anaweza kuyafanya hayo kwa kuwa kuku jike HAMDHARAU , HAMTUKANI WALA HAMNYIMI UTAMU KOLEA.
funzo: Hata binadamu wa kike wangekuwa watulivu na wakarimu tena wenye heshima kama madike ya kuku ni ukweli usiopingika kwamba kumbi zote za starehe zingefungwa.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Utasikia wakuu za sahizi
Huyu demu nilimuomba namba nikamtongoza baada ya siku mbil akaniomba buku hivi huyu anafaa kweli๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hiyo "wakuu za sahizi" imenivunja mbavu,
Yaani umepita mule mule๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
Hapo watajaa kumwaga nyongo zao za kuombwa buku buku yaan watatapika haswaaa
 
Hiyo "wakuu za sahizi" imenivunja mbavu,
Yaani umepita mule mule๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
Hapo watajaa kumwaga nyongo zao za kuombwa buku buku yaan watatapika haswaaa
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Ndo zao "wakuu hii imeekaje"nipige chini ๐Ÿ˜ƒ et kisa kaombwa buku
 
sio wababa wote wako hivyo, mie wanangu nlikuwa nawapeleka clinic nikifika pale hata kama nimechelewa napewa kipaumbele chap hata dk 10 haziishi nishasepa,, wale manesi walinizoea kabisa,, siku akienda wife anakula msoto wa foleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ