wanaume mmezidi,!

wanaume mmezidi,!

eti unakuta wakaka wanatambiana mie tangu nianze mahucano ya kimapenz na mabinti hadi sasa naweza jaza coasta mbili mwingne anasema ww coasta mbili tu mie najaza mohamed trans tatu..,wat z ths?
Hizo Costa tatu zinaweza kuchukua watu 500? Ni wiki mbili tu kulikuwa na post hapa za kibinti cha miaka 26 akijisifia keshawabeba wanaume 500 kwa kipindi cha miaka 9.
Nafikiri ni kuwa wanaume wapo huru kupiga idadi lakini wanawake kihali hasa inakuwa vigumu kuweka idadi.
 
Hahahaha... But mie kwa maoni yangu nahisi haumo. Coz mie hata Mshikaki kwenye bodaboda umenishinda na amini hata wa kwako ameshindwa pia mshikaki.

ma dia 2cusemee moyo..,
 
hivo vipo kipindi cha balehe ndio mana wakikua wataacha .... so subiri wskue
 
Na nyie mnasema kwa dushelele mlizokalia kama ukiziunganisha unaweza pata urefu wa minazi mitatu.
 
Heri yetu tuliobalehe enzi zile hakuna ukimwi,leo hii ukitaka sifa za aina hii utaishia kuimbiwa laila lailala/tumpeleke yule kaka kwenye nyumba ya milele.
 
Back
Top Bottom