Wanaume mna shida sana

Wanaume mna shida sana

Huyu baba hapa amelala anatoa ndoto zote ila akilini kwake anajua tunaondoka wote. Tatizo ana ushamba mie sinao maana amezoea wanawake wanaokaa nao wanakuja kuwadanga. Sasa mtu mwenyewe hata hela ya kulipa bill hana halafu anashoboka na mimi.
Wanaume tafuteni hela mtumie msitie aibu wakati wa kulipa Bill.
Jamani ukomi kudanga mzigua90 wee...!
 
Njoo uwe mke mwenza kwa mama T..! Shida itakuja kuombana pesa badala ya kutafuta pesa.
Si mkeo sasa unatakiwa unitunze. Mama T si keshanipitisha niwe mwenzie
 
Back
Top Bottom