Bor tunyimane tu mwanmme kuomba hela ni aibu
Hhhh sikopeshi
Wewe nae umerudi na upuuzo wako, shenzi type..!Mmezidi sana nimewavumulia nimechoka mmezid sana kuomba mxeeew
Yani mwanamme akijua una kazi tu inayoingiza mshahara mwisho wa mwezi atakusifia hata kama sura lako baya Ili mradi akuingize laini akutapeli.
Mambo ya kuombana hela mm sitak bhn agggr.
Nimesema sitak kuombwa pesaaa .
Nilipokuwa sna kazi hata sm ulikuwa hupigi saivi umejua Nina kazi simu kila saa unanisifia Nina umbo namba nane wakat najijua mm ni mbaya alafu hapohapo unaniomba hela mxeeew
Demiss mahela .
Bor tunyimane tu mwanmme kuomba hela ni aibu
Ndio umeamua kunianika huku....Mmezidi sana nimewavumulia nimechoka mmezid sana kuomba mxeeew
Yani mwanamme akijua una kazi tu inayoingiza mshahara mwisho wa mwezi atakusifia hata kama sura lako baya Ili mradi akuingize laini akutapeli.
Mambo ya kuombana hela mm sitak bhn agggr.
Nimesema sitak kuombwa pesaaa .
Nilipokuwa sna kazi hata sm ulikuwa hupigi saivi umejua Nina kazi simu kila saa unanisifia Nina umbo namba nane wakat najijua mm ni mbaya alafu hapohapo unaniomba hela mxeeew
Demiss mahela .
Ulikuwa umefichwa sasa mapenzi yameisha naona umerudi kijiweni! Ukipata buzi jengine utapotea kama kawaida yakoMmezidi sana nimewavumulia nimechoka mmezid sana kuomba mxeeew
Yani mwanamme akijua una kazi tu inayoingiza mshahara mwisho wa mwezi atakusifia hata kama sura lako baya Ili mradi akuingize laini akutapeli.
Mambo ya kuombana hela mm sitak bhn agggr.
Nimesema sitak kuombwa pesaaa .
Nilipokuwa sna kazi hata sm ulikuwa hupigi saivi umejua Nina kazi simu kila saa unanisifia Nina umbo namba nane wakat najijua mm ni mbaya alafu hapohapo unaniomba hela mxeeew
Demiss mahela .
hii ni kiki tu huna pesa ya kuombwa wewe
Kasoro mm humu insta babe ndio sina hela hapa najiandaa kuja kukuombahongereni sana wanawake wa JF mnaonekana mna mahela sana duuuuuh
maana thread za kulalamika kuombwa hela zimekuwa nyingi sana
aaaaah insta babe ww upo vizur sanaaaaa.. yale matrip ya south sio ya kitoto ujueKasoro mm humu insta babe ndio sina hela hapa najiandaa kuja kukuomba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mxxiuuu trip my foot namlaumu sana huyo unayenifananisha nae hajui tu anavyozidi kuniharibia passport yenyewe sina nikisafiri nipo tanga kwetuaaaaah insta babe ww upo vizur sanaaaaa.. yale matrip ya south sio ya kitoto ujue