Wanaume mnaboa mnaomba sana pesa

Wanaume mnaboa mnaomba sana pesa

Ulishindwa kuamchana, ila mim najua na wew unalipendeamo sana hilo boya lako,
Ndo hujalichana

So kipenda roho hula nyama mbich
Bor tunyimane tu mwanmme kuomba hela ni aibu
 
Mmezidi sana nimewavumulia nimechoka mmezid sana kuomba mxeeew

Yani mwanamme akijua una kazi tu inayoingiza mshahara mwisho wa mwezi atakusifia hata kama sura lako baya Ili mradi akuingize laini akutapeli.

Mambo ya kuombana hela mm sitak bhn agggr.

Nimesema sitak kuombwa pesaaa .
Nilipokuwa sna kazi hata sm ulikuwa hupigi saivi umejua Nina kazi simu kila saa unanisifia Nina umbo namba nane wakat najijua mm ni mbaya alafu hapohapo unaniomba hela mxeeew

Demiss mahela .
Wewe nae umerudi na upuuzo wako, shenzi type..!
 
Mmezidi sana nimewavumulia nimechoka mmezid sana kuomba mxeeew

Yani mwanamme akijua una kazi tu inayoingiza mshahara mwisho wa mwezi atakusifia hata kama sura lako baya Ili mradi akuingize laini akutapeli.

Mambo ya kuombana hela mm sitak bhn agggr.

Nimesema sitak kuombwa pesaaa .
Nilipokuwa sna kazi hata sm ulikuwa hupigi saivi umejua Nina kazi simu kila saa unanisifia Nina umbo namba nane wakat najijua mm ni mbaya alafu hapohapo unaniomba hela mxeeew

Demiss mahela .
Ndio umeamua kunianika huku....

hata hela yako bado sijaila..

Haya nikurudishie hela yako kwa namba ipi???😎😎😎
 
Mmezidi sana nimewavumulia nimechoka mmezid sana kuomba mxeeew

Yani mwanamme akijua una kazi tu inayoingiza mshahara mwisho wa mwezi atakusifia hata kama sura lako baya Ili mradi akuingize laini akutapeli.

Mambo ya kuombana hela mm sitak bhn agggr.

Nimesema sitak kuombwa pesaaa .
Nilipokuwa sna kazi hata sm ulikuwa hupigi saivi umejua Nina kazi simu kila saa unanisifia Nina umbo namba nane wakat najijua mm ni mbaya alafu hapohapo unaniomba hela mxeeew

Demiss mahela .
Ulikuwa umefichwa sasa mapenzi yameisha naona umerudi kijiweni! Ukipata buzi jengine utapotea kama kawaida yako
 
hongereni sana wanawake wa JF mnaonekana mna mahela sana duuuuuh

maana thread za kulalamika kuombwa hela zimekuwa nyingi sana
 
Na nyie mpunguze kutuomba pesa mkiwa na hali kama hiyo!!!
 
Back
Top Bottom