Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
hahahah insta babe yani me kila nikianza kuamini yule siyo ww nikiangalia hii avatar kuna karoho kanasema ndio huyuuu huyuuuu πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mxxiuuu trip my foot namlaumu sana huyo unayenifananisha nae hajui tu anavyozidi kuniharibia passport yenyewe sina nikisafiri nipo tanga kwetu
Hahahahah akiii sio mm insta kwenyewe sipogo mie nimefunga mda acc yangu hivi mwisho wa siku insta baby unataka tukimbiane eenh naona ndio lengo lakohahahah insta babe yani me kila nikianza kuamini yule siyo ww nikiangalia hii avatar kuna karoho kanasema ndio huyuuu huyuuuu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uwe na adabu pumbav..sio wanaume wote wako hivyo ...kama umeombwa pesa be specific umtaje na jina lake na anapoishi sio unafanya jumla wengine tuna heshima zetu shika adabu
hahahahah.... naanzaje kukukimbia insta babe akati me nikiona mgongo tu naweza kujua hadi front pakoje πππHahahahah akiii sio mm insta kwenyewe sipogo mie nimefunga mda acc yangu hivi mwisho wa siku insta baby unataka tukimbiane eenh naona ndio lengo lako
njoo ukae na mimi.ujue tunaenda sawa na sera ya viwanda kuelekea korosho 2020.uje utoe huzi mwengine.shabasiiiMmezidi sana nimewavumulia nimechoka mmezid sana kuomba mxeeew
Yani mwanamme akijua una kazi tu inayoingiza mshahara mwisho wa mwezi atakusifia hata kama sura lako baya Ili mradi akuingize laini akutapeli.
Mambo ya kuombana hela mm sitak bhn agggr.
Nimesema sitak kuombwa pesaaa .
Nilipokuwa sna kazi hata sm ulikuwa hupigi saivi umejua Nina kazi simu kila saa unanisifia Nina umbo namba nane wakat najijua mm ni mbaya alafu hapohapo unaniomba hela mxeeew
Demiss mahela .
mm ni mbaya alafu hapohapo unaniomba hela mxeeew
Hio ndio sababu unaombwa pesa coz ungekuwa mzuri ungehongwa...so Jamaa kafuata papuchi tu na hela coz wewe humvutii zinamvutia pesa zako...
Kibao kimegeuka siku hizi heheheh wanaume wa Dar shikilieni hapohapo
Hato kujibu quote yako
Makavu umempa mdogo wangu jamani mwee, haya naomba elfu 20 namie.
Sio wanaume. Sema mwanaume wako wa dar. Wengine hatuombi tunatoa tu pesa.Mmezidi sana nimewavumulia nimechoka mmezid sana kuomba mxeeew
Yani mwanamme akijua una kazi tu inayoingiza mshahara mwisho wa mwezi atakusifia hata kama sura lako baya Ili mradi akuingize laini akutapeli.
Mambo ya kuombana hela mm sitak bhn agggr.
Nimesema sitak kuombwa pesaaa .
Nilipokuwa sna kazi hata sm ulikuwa hupigi saivi umejua Nina kazi simu kila saa unanisifia Nina umbo namba nane wakat najijua mm ni mbaya alafu hapohapo unaniomba hela mxeeew
Demiss mahela .
Mmezidi sana nimewavumulia nimechoka mmezid sana kuomba mxeeew