Wanaume mnaboa mnaomba sana pesa

Wanaume mnaboa mnaomba sana pesa

Hahahaa anakusifia unaumbo namba name wakati unajijua ni namba tisa...

Hahaaa mi sitaki bhanaa!!
 
Ulishindwa kuamchana, ila mim najua na wew unalipendeamo sana hilo boya lako,
Ndo hujalichana

So kipenda roho hula nyama mbich
[emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312]
Wooo woo woooo
Mm nilitaja ujibu hii
 
Nina swali [la kijinga].

Huwa napenda kujua majina ya watu yanavyotamkwa kwa sababu si mara zote hutamkwa vile yanavyoandikwa.

Hilo jina lako, Shunie, linatamkwaje?

Linatamkwa ‘Shuni’ bila hiyo ‘e’ hapo mwishoni?

Au linatamkwa ‘Shunie-e’ na hiyo ‘e’ hapo mwishoni?
Linatamkwa shunie na e mwishoni Ngabu
 
demis nipo hapa pugu nimepungukiwa kilo 3.5 kwenye ushuru wa mifugo yangu pliz i beg you to rescue the situation
 
Heeee saivi hakuna mzuri wala mbaya wote tunaombwaa pesaaa wanaume mmekuwa ombaomba mxeeew

Heheheh wanaume wa Dar wanatuharibia sana siku hizi...Pole sana mkuu kutoa ni moyo sio utajiRi..

wewe umepewa pesa ngapi na wanaume..Gia imebadilika vumilia tu
 
Back
Top Bottom