Wanaume mnaboa mnaomba sana pesa

Mkuki kwa nguruwe, I hope mshajua how it feels kuombwa ombwa hela na mwanamke Mzigua90
Mwanaume asili yake ni provider na sio receiver.
Jana nimekutana na mtu akawa anatuambia na rafiki zangu tusije fanya kosa la kudate mwanaume ambae sio provider. Kudate na mwanaume maskini ni ujinga wetu wanawake. Na kama hakupi atampa mwenzio.
Neno likanichoma kabisa Hilo. Sasa mwanaume mwenzio anaongelea kumpa mwanamke hela kuwa ni lazima wewe unasema kuombwa inauma.
Wanaume wa Tz (hasa kizazi cha kuanzia 80's) hampendi kabisa majukumu. Kuweni kama wawest basiii. Yule mcameroon jana kaukosha moyo wangu rafiki yangu anae bahati sana wallah
 
Ukweli mchungu kwa wanaume wa kizazi cha nyoka
 
Tulieni kwanza dawa iingie.....nyie mnafikiriaga kwamba kuombwa ombwa hela ni raha utamu.......huu mchezo ni zam zam........
 


Demiss una figure nzuri balaa ungekuwa karibu yangu weweeee, basi tu, lakini we dada mchoyo sana yaani hata milioni moja unashindwa kunirushia?
 
Sema nini.... wanaume wanaotupa hela waishi miaka mingi.
Na tunawaombea wapate nyingi zaidi watupe nyingi zaidi na sisi.
Wale wabahili haiwahusu. Msiendelee kupata hela mle watoto wazuri kwa macho
 


Ishu ni kuwa wadada wengi wanatuomba hela kwa nia ya kutukomoa, na si kwamba wana shida kweli, in other cases unahonga wee una-date au unamuoa mdada ila ukiishiwa pesa unachekwa na kukimbiwa plus dharau juu. Au ushasahau ile thread yako yenye kichwa cha habari "Joyce kiria kuolewa ili kuendelea kuishi mjini" Mzigua90
 
Sasa unahonga upendwe. Tofautisha kulazimisha kupendwa na kuhudumia
 
Hahahahahahahahahahahaha..... Nimebakia kucheka.
 
Sio wanaume wrote ila ni mwanaume wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…