Wanaume mnaboa mnaomba sana pesa

Sasa unahonga upendwe. Tofautisha kulazimisha kupendwa na kuhudumia


Kama ni kuhudumia, bhasi nitatoa hela baada ya kupata papuchi, ila hata hivyo, baada ya kupata papuchi nikiona gharama zinazidi, bhas namkimbia huyo mwanamke Mzigua90
 
Sio wanaume wote ila ni tabia ya uyo mme wako
 
Kwani kumsaidia pesa akupendea ni kosa?,amwombe nani sasa wakati mnatakiwa kusaidizana pale panapohitajika!
 
Uwe na adabu pumbav..sio wanaume wote wako hivyo ...kama umeombwa pesa be specific umtaje na jina lake na anapoishi sio unafanya jumla wengine tuna heshima zetu shika adabu
Hahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…