Wanaume mnajidanganya kwa hili

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Kwa sasa wanaume wanaamini kuwa mapenzi ni pesa ,yaani ili apendwe na mpenzi wake lazima awe na hela za kumpa kitu ambacho si Kweli

Ukweli ni huu,sisi wanawake tunaridhika na mwanaume aliye vizuri kitandani,anayenifikisha kibo na mawenzi,huyo hakika ni moyo wangu,na haiwezi ikapita SAA 1 sijakuuliza uko wapi,au kukuulizia kitu chochote na kama hana hela namwelewa sana,na naona kawaida tofauti na yule ambaye kitandani hayupo vizuri halafu nikuombe hela ,huna ntanuna na naweza kukuona kama takataka Fulani na unavyojua wanawake tunadharau sana

Mwanaume hata kama una kidogo,kwa ajili ya matumizi madogomadogo ila unajituma 6×6,Wewe nakung'ang'ania mpaka basi,hata kama tumepigika tajiri mmoja akaja kuomba gem nampa ili nipate hela za kutumia na mpenzi nimpendaye ila siwezi kumwambia hela nimetoa wapi ,naweza kumwambia nimekopa madam maisha yetu yasonge

Wewe mwanaume hebu jitume umfikishe kibo na mawenzi mpenziwe halafu mnyime hela uone kama huyo mwanamke atanuna au atakuacha,hakuachi ng'oo,hata kama amekufumania hawezi kukuacha lakini kama hufanyi kazi au unafanya blah blah basi jiandae kuachwa au kuwa ATM

Mwanaume tafuta pesa na piga kazi 6×6 uone,mwanamke atatulia kama maji ya mtungi atakuheshimu kama baba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi nzuri kunako 6 kwa 5 aise inategemeana na mwanamke yukoje.
Ukiwa na mwanamke yuko bomba aise mambo huja automatically.
Wanaume tujitahidi kuoa wanawake wazuri na wanao vutia

[emoji375][emoji375]
D.D.D.D.D Mi sijasemea hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ona sasa hizi akili aseee


 
hata kama tumepigika tajiri mmoja akaja kuomba gem nampa ili nipate hela za kutumia na mpenzi nimpendaye ila siwezi kumwambia hela nimetoa wapi ,naweza kumwambia nimekopa madam maisha yetu yasonge


Sent using Jamii Forums mobile app

Ulichoandika hapo inaonesha bado hujaridhika na uliyenaye...kama umeridhika na huyo anayekufikisha huko kibo na mawenzi hutakiwi kubabaishwa na mwanaume mwingine sababu ya pesa

Kama pesa kwanini msitafute kihalali wewe na huyo bwana ako?
 
Ulichoandika hapo inaonesha bado hujaridhika na uliyenaye...kama umeridhika na huyo anayekufikisha huko kibo na mawenzi hutakiwi kubabaishwa na mwanaume mwingine sababu ya pesa

Kama pesa kwanini msitafute kihalali wewe na huyo bwana ako?
Kama imeshindikana kabisa kupata hela ya kula ndo nafikia hicho kiwango ila sijamaanisha namuacha na hata hivyo nitakuwa nafanya moyo unauma,sio kwa kupenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Utakufa masikini
 
Ulichoandika hapo inaonesha bado hujaridhika na uliyenaye...kama umeridhika na huyo anayekufikisha huko kibo na mawenzi hutakiwi kubabaishwa na mwanaume mwingine sababu ya pesa

Kama pesa kwanini msitafute kihalali wewe na huyo bwana ako?
Wewe unafikiria kama MKE, huyo uliemjibu anawaza kujiuza ili apate hela za kutumia na bwanake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii mada yako nimesoma nusu ila mpaka nilipoishia tayari nimeona pesa imekuwa kila kitu thru mada yako ila we umeelezea indirect

swali kwako mtoa mada...kuhusu huu mtazamo walionao wanaume kuwa pesa ndo kila kitu kwenye mahusiano ya mapenzi ameuleta nani kati ya wanaume na wanawake??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…