Wanaume mnajidanganya kwa hili

Wanaume mnajidanganya kwa hili

Wapo wanawake kama wewe watakuja kukupinga.... [emoji30][emoji30]
IMG-20190215-WA0002.jpg
 
Ulichoandika hapo inaonesha bado hujaridhika na uliyenaye...kama umeridhika na huyo anayekufikisha huko kibo na mawenzi hutakiwi kubabaishwa na mwanaume mwingine sababu ya pesa

Kama pesa kwanini msitafute kihalali wewe na huyo bwana ako?
Unaakili jonnah
 
Nafikiri unataka kupata mawazo yeti yupi kati ya mwenye pesa ambaye hayuko vizuri na asiye na pesa lkn yuko vizuri kitandani. Kwa maana maelezo yako sijajua uko upande gani?
Kwa sasa wanaume wanaamini kuwa mapenzi ni pesa ,yaani ili apendwe na mpenzi wake lazima awe na hela za kumpa kitu ambacho si Kweli

Ukweli ni huu,sisi wanawake tunaridhika na mwanaume aliye vizuri kitandani,anayenifikisha kibo na mawenzi,huyo hakika ni moyo wangu,na haiwezi ikapita SAA 1 sijakuuliza uko wapi,au kukuulizia kitu chochote na kama hana hela namwelewa sana,na naona kawaida tofauti na yule ambaye kitandani hayupo vizuri halafu nikuombe hela ,huna ntanuna na naweza kukuona kama takataka Fulani na unavyojua wanawake tunadharau sana

Mwanaume hata kama una kidogo,kwa ajili ya matumizi madogomadogo ila unajituma 6×6,Wewe nakung'ang'ania mpaka basi,hata kama tumepigika tajiri mmoja akaja kuomba gem nampa ili nipate hela za kutumia na mpenzi nimpendaye ila siwezi kumwambia hela nimetoa wapi ,naweza kumwambia nimekopa madam maisha yetu yasonge

Wewe mwanaume hebu jitume umfikishe kibo na mawenzi mpenziwe halafu mnyime hela uone kama huyo mwanamke atanuna au atakuacha,hakuachi ng'oo,hata kama amekufumania hawezi kukuacha lakini kama hufanyi kazi au unafanya blah blah basi jiandae kuachwa au kuwa ATM

Mwanaume tafuta pesa na piga kazi 6×6 uone,mwanamke atatulia kama maji ya mtungi atakuheshimu kama baba yake

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwandishi mwenyewe hajui alichokiandika halafu kuna mtu mmoja hapo anataka kuwafahamu wanawake. Endelea tu, mochwari huwa hakujai
 
Wanawake tuna mambo!!
matokeo yake mtu unakabidhiwa mtoto ambaye si damu yake: kwa dunia ya sasa hivi huwezi tenganisha pesa na mapenzi, hivi vitu vinaendana pamoja" kama upo chumbuni vizuri basi hakikisha na pesa hazikupigi chenga ili kuwa na sustainable love kati yako na mkeo.
 
Back
Top Bottom