Wanaume mnajidanganya kwa hili

Wanaume mnajidanganya kwa hili

Ok wewe Dada,mfano hamna pesa ya bill ya nyumba,mafuta kwenye gari,ada ya mtoto kitombo kwako ni muhimu sana,kwa hiyo nikishakutomba vizuri,nikichomeka kadi yangu ya benki kwenye Papuchi yako itatoa hela za kutatua hayo matatizo,hivi hujui kama mnapendana kweli mnaweza mkatumia muda mwingi kuongea na kubadilishana mawazo na kupata solution ya matatizo yenu instead ya wewe kwenda kujiuza na kuja kumdanganya mwenzako.
Mvaa dela huyo achana nae yupo tayali asaliti nyumba sababu ya nyege.
 
"hata kama tumepigika tajiri mmoja akaja kuomba gem nampa ili nipate hela za kutumia na mpenzi nimpendaye ila siwezi kumwambia hela nimetoa wapi ,naweza kumwambia nimekopa madam maisha yetu yasonge"

So mambo ni yale yale tu, utasaliti kisa hela ni kama yule atakaesaliti kisa show... Kwa kifupi huwezi kumridhisha mwanamke!
 
Kwa sasa wanaume wanaamini kuwa mapenzi ni pesa ,yaani ili apendwe na mpenzi wake lazima awe na hela za kumpa kitu ambacho si Kweli

Ukweli ni huu,sisi wanawake tunaridhika na mwanaume aliye vizuri kitandani,anayenifikisha kibo na mawenzi,huyo hakika ni moyo wangu,na haiwezi ikapita SAA 1 sijakuuliza uko wapi,au kukuulizia kitu chochote na kama hana hela namwelewa sana,na naona kawaida tofauti na yule ambaye kitandani hayupo vizuri halafu nikuombe hela ,huna ntanuna na naweza kukuona kama takataka Fulani na unavyojua wanawake tunadharau sana

Mwanaume hata kama una kidogo,kwa ajili ya matumizi madogomadogo ila unajituma 6×6,Wewe nakung'ang'ania mpaka basi,hata kama tumepigika tajiri mmoja akaja kuomba gem nampa ili nipate hela za kutumia na mpenzi nimpendaye ila siwezi kumwambia hela nimetoa wapi ,naweza kumwambia nimekopa madam maisha yetu yasonge

Wewe mwanaume hebu jitume umfikishe kibo na mawenzi mpenziwe halafu mnyime hela uone kama huyo mwanamke atanuna au atakuacha,hakuachi ng'oo,hata kama amekufumania hawezi kukuacha lakini kama hufanyi kazi au unafanya blah blah basi jiandae kuachwa au kuwa ATM

Mwanaume tafuta pesa na piga kazi 6×6 uone,mwanamke atatulia kama maji ya mtungi atakuheshimu kama baba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke anataka mambo yote pesa +Kunako 6x6 na upendo. mwanamke ni kiumbe wa ajabu anaweza akapewa vyote hivi bado akakengeuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"hata kama tumepigika tajiri mmoja akaja kuomba gem nampa ili nipate hela za kutumia na mpenzi nimpendaye ila siwezi kumwambia hela nimetoa wapi ,naweza kumwambia nimekopa madam maisha yetu yasonge"

So mambo ni yale yale tu, utasaliti kisa hela ni kama yule atakaesaliti kisa show... Kwa kifupi huwezi kumridhisha mwanamke!
Mwanamke anaridhika mwenyewe...!!! Mungu mwenyewe mnaona kama kawakosea kuwaumba yani Hamridhiki sasa wanaume tutawezaje kuwaridhisha..?? Mara muweke matako ya bandia...sijui Nyusi..manywele ya bandia..Make up kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa wanaume wanaamini kuwa mapenzi ni pesa ,yaani ili apendwe na mpenzi wake lazima awe na hela za kumpa kitu ambacho si Kweli

Ukweli ni huu,sisi wanawake tunaridhika na mwanaume aliye vizuri kitandani,anayenifikisha kibo na mawenzi,huyo hakika ni moyo wangu,na haiwezi ikapita SAA 1 sijakuuliza uko wapi,au kukuulizia kitu chochote na kama hana hela namwelewa sana,na naona kawaida tofauti na yule ambaye kitandani hayupo vizuri halafu nikuombe hela ,huna ntanuna na naweza kukuona kama takataka Fulani na unavyojua wanawake tunadharau sana

Mwanaume hata kama una kidogo,kwa ajili ya matumizi madogomadogo ila unajituma 6×6,Wewe nakung'ang'ania mpaka basi,hata kama tumepigika tajiri mmoja akaja kuomba gem nampa ili nipate hela za kutumia na mpenzi nimpendaye ila siwezi kumwambia hela nimetoa wapi ,naweza kumwambia nimekopa madam maisha yetu yasonge

Wewe mwanaume hebu jitume umfikishe kibo na mawenzi mpenziwe halafu mnyime hela uone kama huyo mwanamke atanuna au atakuacha,hakuachi ng'oo,hata kama amekufumania hawezi kukuacha lakini kama hufanyi kazi au unafanya blah blah basi jiandae kuachwa au kuwa ATM

Mwanaume tafuta pesa na piga kazi 6×6 uone,mwanamke atatulia kama maji ya mtungi atakuheshimu kama baba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi joanah amepita hapa?

CC Kaizer
 
Acha wewe pesa tena
MWANAMKE ANAVITU VITATU
i/Mkaze vizuri kama usemavyo
ii/Mpe pesa
iii/Muombe msamaha
Hapo umemaliza biashara zote tunajua bwana .
 
"hata kama tumepigika tajiri mmoja akaja kuomba gem nampa ili nipate hela za kutumia na mpenzi nimpendaye ila siwezi kumwambia hela nimetoa wapi ,naweza kumwambia nimekopa madam maisha yetu yasonge"

So mambo ni yale yale tu, utasaliti kisa hela ni kama yule atakaesaliti kisa show... Kwa kifupi huwezi kumridhisha mwanamke!
Afu atakwambia ajiuzi,wanaojiuza malaya.
 
Huo sio upendo. Hapo mtaishi kwa sababu fulani. Kwenye maisha ya mapenzi kuna mengi ya muhimu zaidi ya sex. Mfano huyo anayekufikisha kibo siku akiumwa kisukari akashindwa kusex maana yake hutompenda tena?
 
Asili ya mwanamke hakuumbwa kupenda
Kwa sasa wanaume wanaamini kuwa mapenzi ni pesa ,yaani ili apendwe na mpenzi wake lazima awe na hela za kumpa kitu ambacho si Kweli

Ukweli ni huu,sisi wanawake tunaridhika na mwanaume aliye vizuri kitandani,anayenifikisha kibo na mawenzi,huyo hakika ni moyo wangu,na haiwezi ikapita SAA 1 sijakuuliza uko wapi,au kukuulizia kitu chochote na kama hana hela namwelewa sana,na naona kawaida tofauti na yule ambaye kitandani hayupo vizuri halafu nikuombe hela ,huna ntanuna na naweza kukuona kama takataka Fulani na unavyojua wanawake tunadharau sana

Mwanaume hata kama una kidogo,kwa ajili ya matumizi madogomadogo ila unajituma 6×6,Wewe nakung'ang'ania mpaka basi,hata kama tumepigika tajiri mmoja akaja kuomba gem nampa ili nipate hela za kutumia na mpenzi nimpendaye ila siwezi kumwambia hela nimetoa wapi ,naweza kumwambia nimekopa madam maisha yetu yasonge

Wewe mwanaume hebu jitume umfikishe kibo na mawenzi mpenziwe halafu mnyime hela uone kama huyo mwanamke atanuna au atakuacha,hakuachi ng'oo,hata kama amekufumania hawezi kukuacha lakini kama hufanyi kazi au unafanya blah blah basi jiandae kuachwa au kuwa ATM

Mwanaume tafuta pesa na piga kazi 6×6 uone,mwanamke atatulia kama maji ya mtungi atakuheshimu kama baba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke hakubwa kupenda . Mwanaume ndie aliumbwe kupenda. Tembea sehem mbalimbali hata ulimwengu Kwa wenzetu walioendelea mwanamme ndio hutongoza 95% ya mahusiano ila mwanamke huangalia atanufaikaje na hayo mahusiano ndio akubali. Ata asses pesa, cheo, elimu pia akitoa gemu huangalia uwezo wa mwanaume 6x6. Ila wanaume upendo hutoka moyoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom