Wanaume mnajidanganya kwa hili

Mvaa dela huyo achana nae yupo tayali asaliti nyumba sababu ya nyege.
 
"hata kama tumepigika tajiri mmoja akaja kuomba gem nampa ili nipate hela za kutumia na mpenzi nimpendaye ila siwezi kumwambia hela nimetoa wapi ,naweza kumwambia nimekopa madam maisha yetu yasonge"

So mambo ni yale yale tu, utasaliti kisa hela ni kama yule atakaesaliti kisa show... Kwa kifupi huwezi kumridhisha mwanamke!
 
Mwanamke anataka mambo yote pesa +Kunako 6x6 na upendo. mwanamke ni kiumbe wa ajabu anaweza akapewa vyote hivi bado akakengeuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke anaridhika mwenyewe...!!! Mungu mwenyewe mnaona kama kawakosea kuwaumba yani Hamridhiki sasa wanaume tutawezaje kuwaridhisha..?? Mara muweke matako ya bandia...sijui Nyusi..manywele ya bandia..Make up kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi joanah amepita hapa?

CC Kaizer
 
Acha wewe pesa tena
MWANAMKE ANAVITU VITATU
i/Mkaze vizuri kama usemavyo
ii/Mpe pesa
iii/Muombe msamaha
Hapo umemaliza biashara zote tunajua bwana .
 
Afu atakwambia ajiuzi,wanaojiuza malaya.
 
Huo sio upendo. Hapo mtaishi kwa sababu fulani. Kwenye maisha ya mapenzi kuna mengi ya muhimu zaidi ya sex. Mfano huyo anayekufikisha kibo siku akiumwa kisukari akashindwa kusex maana yake hutompenda tena?
 
Asili ya mwanamke hakuumbwa kupenda Mwanamke hakubwa kupenda . Mwanaume ndie aliumbwe kupenda. Tembea sehem mbalimbali hata ulimwengu Kwa wenzetu walioendelea mwanamme ndio hutongoza 95% ya mahusiano ila mwanamke huangalia atanufaikaje na hayo mahusiano ndio akubali. Ata asses pesa, cheo, elimu pia akitoa gemu huangalia uwezo wa mwanaume 6x6. Ila wanaume upendo hutoka moyoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…