Wanaume mnajidanganya kwa hili

Ulichoandika hapo inaonesha bado hujaridhika na uliyenaye...kama umeridhika na huyo anayekufikisha huko kibo na mawenzi hutakiwi kubabaishwa na mwanaume mwingine sababu ya pesa

Kama pesa kwanini msitafute kihalali wewe na huyo bwana ako?
You're too smart, damn!
 
Hoja ya msingi imesimama

Akiwa hana hela na hajitumi utamuona takataka

Akiwa ana hela na hajitumi kwa bed bado utamthamini

Umesema upo tayari kumsaliti masikini anayejituma kwa kidume mwenye hela

Hoja imesimama. Money over kusimamia kucha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…