Hamjambo wanajf .hivi jamani wanaume wenzangu ni sawa kwa mwanamke kumtongoza siku ya kwanza na anakubali siku hiyo hiyo. Mimi ninavyojua kwa kawaida mwanamke anatakiwa amsumbua kidogo mwanaume wala si siku hiyo hiyo mwanamke umemtongoza anakubali ataonekana kama malaya. Je wewe mwanjf unaonaje kwa mwanamke kutongozwa siku hiyo hiyo na kukubali ?
hata mimi,kwanza sijui hata kama nitaweza maana nimesahau.Kwani kuna kutongoza siku hizi?? Naomba mnifundishe mimi nimeshasahau, maana mara ya mwisho sikumbuki nilitongoza lini!!!! Lol!
wazoefu wanasema kuwa mke wa mtu mara nyingi anakubali siku hiyo na ukiweza waweza kumpata siku hiyo hiyo. Mschana ambaye hajaolewa ni vigumu sana
yaani m ndo zangu kukubaliwa first time na mambo huwa pia napewa the first day na wa2 wengine wanahangaika kila kukicha na warembo hao hao inategemea pengine mrembo alikuwa anakuona kila cku sema we unapoteza cku ukitupa mistari tuu unakuwa umesharahisisha kazi kwake kazi.......daah yaani mambo ya kusbir jib au subir nikuzoeee nakukimbiaa fasta hapo ndo kuna wachunaji balaaa mara kesho saloon mara nna shida na laki
Hamjambo wanajf .hivi jamani wanaume wenzangu ni sawa kwa mwanamke kumtongoza siku ya kwanza na anakubali siku hiyo hiyo. Mimi ninavyojua kwa kawaida mwanamke anatakiwa amsumbue kidogo mwanaume wala si siku hiyo hiyo mwanamke umemtongoza anakubali ataonekana kama malaya. Je wewe mwanjf unaonaje kwa mwanamke kutongozwa siku hiyo hiyo na kukubali ?
Modulator tafadhali naomba uifunge hii topic kabla wanawake hawajaisoma, itatusababishia matatizo sana hasa wale ambao mambo ya kalenda huwa hatuyawezi. Kuna rafiki yangu humu JF ameamua kuwa bachellor mpaka leo sababu hapendi mambo ya kupigwa tarehe