Wanaume mnajisikiaje kumtongoza mwanamke nakukubalia hapo hapo

Wanaume mnajisikiaje kumtongoza mwanamke nakukubalia hapo hapo

Msichana anizungushe kwani ninatafuta dhahabu kwake? Atazunguka mwenyewe hadi apate kizunguzungu. Huo ushamba wa kupigwa tarehe huku wanaume wengine wanakula mzigo sina. Akinipiga tarehe tu hanioni tena. Kawaida ninataka mwanamke mwenye ujasiri wa kuniambia NDIYO au HAVANA
 
Mi naona fresh kabisa na sitamuona kuwa ni malaya, kwasababu nikimtongoza mwanamke ili awe mpenzi wangu na akagoma huwa nachukua time na simfuati tena.
 
Kwani kuna kutongoza siku hizi?? Naomba mnifundishe mimi nimeshasahau, maana mara ya mwisho sikumbuki nilitongoza lini!!!! Lol!

haya mwenzetu wewe hua unapataje kama haujui kutongoza au unavuta kama wanavyo fanya wenzako huko mlimani.
 
MI SPENDIII,KWANZAA MWANAMKE ANISUMBUE THEN AJEE KUNIKUBALIII,niki mtongozaa kaa karikikaa na mimiii swadaptaaa walaaa hakuna second thought.
 
...mwanamke umemtongoza anakubali ataonekana kama malaya. Je wewe mwanjf unaonaje kwa mwanamke kutongozwa siku hiyo hiyo na kukubali ?
Mimi kama mwanaJF sioni tatizo, tatizo liko kwenye mfumo dume. Kwa nini aonekane mwanamke tu malaya kwa kutongozwa au kutongoza?
 
kutongoza iliisha zamani...cku iz ukimzoea tu unalamba k....so inategemea na speed yako kuzoeana na demu hata kama nda ya dk 10 unamalza
 
Hiyo imetulia kukubaliwa siku hiyohiyo sio kuwa mwanamke kicheche bali ni utashi wa muombaji na mwombaji

Maana ya mwanaume kuomba ni anahitaji. Ni kama unavyoomba kitu chochote kile, ukipewa usiseme vibaya.
 
hivi bado kuna watu wanatongozana siku hizi, mambo wanafanya yako ki implied zaidi, wanakwambia wasichana kama atamkubalia mwezi ujao na anajua kabisa kashawaka kwa kijana ni bora amkubalie leo, u never know kijana akabadili uamuzi kumbe msichana keshampenda, utandawazi tumeulilia ndo unaleta mambo yote haya
 
ndokeji ,inategemea labda binti na yeye alikuwa anakupendaga toka long ivyo ulipomtamkia tu na yeye akamaliza game! na kama unampenda mtu kwaninin umzungushe?
 
Hamjambo wanajf .hivi jamani wanaume wenzangu ni sawa kwa mwanamke kumtongoza siku ya kwanza na anakubali siku hiyo hiyo. Mimi ninavyojua kwa kawaida mwanamke anatakiwa amsumbue kidogo mwanaume wala si siku hiyo hiyo mwanamke umemtongoza anakubali ataonekana kama malaya. Je wewe mwanjf unaonaje kwa mwanamke kutongozwa siku hiyo hiyo na kukubali ?

Mkuu angalia tarehe ya Leo inasemaje, Leo ni 25/1/2012 mkuu, sio mwaka 1947! Hao madem wa hivyo unaotaka wewe species zao zilishapotea duniani. Kuwatafuta madem Kama hao ni sawa na kumtafuta DINNOSAUR!
 
Mnaongelea kutongozana kati ya mwanamke na mwanaume au mvulana na msichana,nahisi hii imekaa kwa kivulana na kisichana zaidi,

Nijuavo mm kwa mwanaume hawezi kukuona mda huo na kukutongoza mda huo huo labda km ni mvulana,
Wanaume wanachofanya atataka urafiki,contact then mtakuwa marafiki akikusoma taratibu kujua km uko kwenye position ya kutongozwa na kumkubalia,
Wanapoguandua uko single ndio anaweza kukupa outing na mkaanza kudate na huko kwenye dating ndio atakutafutia siku atakwambia lake la moyon na mara nyingi hawatakagi kujibiwa pale pale huruhusu kujibiwa wakati wowote mwanamke anapokuwa tayari,
Hapo mwanamke kulingana na namna naye alivokuwa akimuona jamaa na kumsoma kiustarabu hata baada ya kutoka pale hutoa jibu kwa cm au kutoa sms na manpen huanzia hapo na kuendelea,

Ila nikikutana na mtu simjui akanitongoza hapo hapo na anataka jibu hapo sitamkubalia kwan kakosa ustarabu,kaniona niko pale kumsubiri yoyote anitongoze,inshort huwa nawaona ni watumiaji tu na hawana mapnz kbs.

Nadhani hii imekaa kiutu uzima zaidi. Ndivyo mapenzi ya kweli yanavyoanza.
 
msichana anizungushe kwani ninatafuta dhahabu kwake? Atazunguka mwenyewe hadi apate kizunguzungu. Huo ushamba wa kupigwa tarehe huku wanaume wengine wanakula mzigo sina. Akinipiga tarehe tu hanioni tena. Kawaida ninataka mwanamke mwenye ujasiri wa kuniambia ndiyo au havana

havana mji mkuu wa cuba kwa fidel castro
 
Mkuu angalia tarehe ya Leo inasemaje, Leo ni 25/1/2012 mkuu, sio mwaka 1947! Hao madem wa hivyo unaotaka wewe species zao zilishapotea duniani. Kuwatafuta madem Kama hao ni sawa na kumtafuta DINNOSAUR!

kwanin species hzo zmeisha!
 
Na study kwanza mzigo then ndio nafanya decision
Verbal language
 
ndokeji ,inategemea labda binti na yeye alikuwa anakupendaga toka long ivyo ulipomtamkia tu na yeye akamaliza game! na kama unampenda mtu kwaninin umzungushe?
hapo pretty umenielewesha vizuri nimekuelewa it's true
 
ukiona unapigwa sana tarehe na mtu kujifanya mgumu sana jua huyo ni kicheche anaficha makucha yake. kama nimekubali leo, sioni sababui ya kukupa jibu baadae au kesho. mwisho wa siku kitu ni kile kile. kama sikutaki, nitakupa za uso hapo hapo, kua sorry haiwezekani. siwezi kukupotezea muda wako wakati jibu ni hapana. kama nimekubali hali kadhalika. cha ajabu nini mpaka umpe tabu mwenzio wakati tuko karne ya 21..?
 
Back
Top Bottom