Wanaume mnajua kwanini tunakubaliwa?

Haaaa jamani mbona Vi Ben 10 vyetu tunavipenda sana na kuvuhudumia tu
 
Mapenzi yapo sema tuu yanavutwa zaidi na wallet [emoji6]
mimi nikiziona tu hata kama sipewi mimi nahis kiuno kinalainika chenyewe automatically.
ili mradi asiniambie mwanzo kuwa sipewi mimi
pesa ni kitu ingine asikuambie mtu haijawahi muacha mtu salama
 
mimi nikiziona tu hata kama sipewi mimi nahis kiuno kinalainika chenyewe automatically.
ili mradi asiniambie mwanzo kuwa sipewi mimi
pesa ni kitu ingine asikuambie mtu haijawahi muacha mtu salama
Ahahahaaaaaa uwiii acha kabisa, hapana chezea pesa
 
Hahaha...hii ni moja wapo kati ya Thread Fupi jf lakini ina ujumbe wa kweli kabisa.
 
Ukilitumia dushe vzur utapendwa zaid ya mwenye walet....ko wale wenzangu na mi tuendelee kuwakaza tu.
 
Karibu sana Madame S ukiwa na mrembo aliyekupenda kwa mapenzi na siyo kwa pesa zako basi huyo utamthamini sana kuliko yule ambaye yuko kwa ajili ya mshiko tu.

asante mno BAK good men and good women are still exist we just overlooking them na hii dedication imfikie mhusika nimeipenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…