makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 4,171
- 3,461
NooooooooooHakuna mapenzi siku hizi tusiongopeane utakubaliwa kwa PESA ZAKO TU!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NooooooooooHakuna mapenzi siku hizi tusiongopeane utakubaliwa kwa PESA ZAKO TU!
Una hakika?mhhh wengine hatuko interested na pesa zenu mkuu
mimi nikiziona tu hata kama sipewi mimi nahis kiuno kinalainika chenyewe automatically.Mapenzi yapo sema tuu yanavutwa zaidi na wallet [emoji6]
Hongera sana bibie,ila nna ombi moja kwakoninaomba nikuthibitishie mimi sijawah kumuomba mwenzangu hela, na sitakuja kuthubutu kufanya hivo na kama nabisha atakuja athibitishe
Ahahahaaaaaa uwiii acha kabisa, hapana chezea pesamimi nikiziona tu hata kama sipewi mimi nahis kiuno kinalainika chenyewe automatically.
ili mradi asiniambie mwanzo kuwa sipewi mimi
pesa ni kitu ingine asikuambie mtu haijawahi muacha mtu salama
ni shida kabisa, yaani utahisi ndo nimetoka kwa kungwi kufundishwa maunoAhahahaaaaaa uwiii acha kabisa, hapana chezea pesa
asante, ombi ganiHongera sana bibie,ila nna ombi moja kwako
asilimia mia mojaUna hakika?
mhhh wengine hatuko interested na pesa zenu mkuu
Mnakula nini?Sasa mbona wangu hana na nampenda kweeeli!!!!
Ya kula haikosekani mkuuMnakula nini?
maana mjini pesa ndo shamba.
asante mno BAK good men and good women are still exist we just overlooking them na hii dedication imfikie mhusika nimeipenda
Bado natumia kijiti cha babu, mwanamke hajii kukumbuka kuniomba hela hata Siku moja,Mapenzi yapo sema tuu yanavutwa zaidi na wallet [emoji6]