Wanaume mnajua kwanini tunakubaliwa?

Wanaume mnajua kwanini tunakubaliwa?

Juzi nimemfuma HUYU anamuambie shogake YUPO KIMASLAHI KWANGU! Yaani tangu juzi kichwa kiko busy kinaandaa HANSARD
 
Japo maisha siyo kutesa kila siku... ila pesa ndiyo kila kitu...


Kwa waajiriwa tarehe kama hizi za mishahara mapenzi yanaongezeka ghafla...


cc: mahondaw
 
Tunauziwa na ndio maana tunaishi nao kama bidhaa...akupugie ya skio we mtandike ya JICHO
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Apo anachukua pessa kwako anaenda kwa mwingine kufrahishwa
Kuweni watu wazima
 
Back
Top Bottom