Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

Hahahahahaah haya wenye visukari vyenu mpane maneno kutoka kwa wadhamini kidogo......
 
Hatari sana...

Hata kuna wanawake kufanywa sana hawapendi na wanakojoa mapema sana...


Cc: mahondaw
Mh! One in a million! Ukiona anakwambia hapendi kufanya sana jua ameshaona uwezo wako ndipo unapoishia, akikutana na taipu ya kababa chanja kangu, hesabu maumivu!
 
Huyo wa dakika tatu ndio mwanaume sasa. Fastafasta apate mud awa kupumzika awahi kuamka akazisake. Sio jitu linakesha kifuani kama kaahidiwa tuzo na pesa halina[emoji57][emoji57][emoji57]
ni kama unanitukana mimi mkuu. sio vyema hivyo. shwari lakini?
 
Huyo wa dakika tatu ndio mwanaume sasa. Fastafasta apate mud awa kupumzika awahi kuamka akazisake. Sio jitu linakesha kifuani kama kaahidiwa tuzo na pesa halina[emoji57][emoji57][emoji57]
Siku hizi hatukai kifuani ujuwe[emoji23]
 
Yaani wanaume bwana ninyi kupotezewa pesa zenu hamtaki ila sisi kutupotezea muda wetu mnataka sasa mnataka mpoteza nini au hamtaki kuwa na cha kupoteza?
Wote tusipoteze kitu ila tupeane utamu2
 
We kweli otorong'ong'o, umeamua kuwa mganga wa mvua au mpiga ramli chonganishi! Wala hainihusu mimi, rejea nyuzi zangu humu mkuu, nimetulizwa nikatulia!
Nipe code jimbo gani una available nije nikutakase mupaka uhis moto moto moto moto FIRE FIRE
 
Wote tusipoteze kitu ila tupeane utamu2
Weee hakunaga kitu kama hicho kumbuka wewe hata ukifika miaka 50 utaoa ila mwenzio akifika miaka 30 tu kuolewa inakuwa shughuli kwahiyo wakati mnapeana utamu huku hauna malengo ya kumuoa mtoto wa watu ukae ukijua unampotezea mwenzio muda wa kuolewa kwahiyo na wewe acha akupotezee tu pesa zako
 
Pole sana kwakupakwa shombo na jamaa,siku nyingine usihadaike na body,njoo kwetu sisi vimbaumbau ujionee shoo LA kibabe...Najua muhusika ni ww japo unaficha
 
Duh kumbe nyie pesa ndio kiinua mgongo chenu aisee
 
Mkuu na ninyi mnajisahau n part ya hyo kitu sasa maandaliz hakuna ...n mpaka ulazmishwe unategemea nn ...mapenz n hisia mkuu...usisahau hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…