Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

Sawa
 
Mkuu na ninyi mnajisahau n part ya hyo kitu sasa maandaliz hakuna ...n mpaka ulazmishwe unategemea nn ...mapenz n hisia mkuu...usisahau hilo
Mwanamke hulka yake kubembelezwa, sasa unataka mimi ndo nikubembeleze wewe, yaani chakula nikuandalie halafu nikubembeleze kula? Hapo ndio mnapokwama!
 
na nko nalisubiri nifulie,mana kila siku wanalalamika sisi dakika 3, raha mara moja wao dakika 3 hizo wanapata enjoyment!! Kazi kelele tu
Dakika tatu ni kama unapiga stata tu, yaani kama ni msosi umeanza kutoa bites halafu unaishia hapo wakati mi nna njaa!
 
Duh kumbe nyie pesa ndio kiinua mgongo chenu aisee
Unaposema kiinua mgongo unamaanisha nini? Kwani wanaume pesa haiwezi kuwa kiinua mgongo kwenu? Sema ni kifuta jasho kwamba hata kama huyo mwanamke atachelewa kuolewa angalau aliambulia kitu kutoka kwa huyo aliyemchelewesha kuolewa.
 
Mekupenda bure Mariana japo tunapishana mitazamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…