Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

Kubwa la maadui katika ubora wake.

Kwa maana nyingine utwambia kuwa mwanamke anaegegedwa kwa hela achezewi ila anaegegedwa free ndio anachezewa
 
Kubwa la maadui katika ubora wake.

Kwa maana nyingine utwambia kuwa mwanamke anaegegedwa kwa hela achezewi ila anaegegedwa free ndio anachezewa
Wote wanachezewa lakini yupi mwenye afadhali? Yaani hapo nataka kujua yupi mwenye afadhali hata msizunguke sana sijui thamani sijui umalaya semeni yupi mwenye afadhali?
 
Duuuuh.....ujinga n mzigo,ifikie kipindi watu msome normal physiological time of ejaculation,kwa bao LA kwanza normal is 3-5 minutes, ukienda 30 minutes wew una tatzo kitaalamu tunaita delayed ejaculation.. Kuanzia bao LA pili nakuendelea 5-15 minutes is normal...ukienda SAA nzma it's a problem... Tunaposema MTU anawahi kumwaga kitaalamu huitwa premature ejaculation hii hupimwa kama mshindo kuanzia ule wa pili n less than 3 minutes au kama MTU kamwaga LA kwanza in less than 3 minutes then akashindwa kuendelea tena,....inatakiwa wanawake mtambue kuwa ,n vgumu mwanaume kukurdhisha kwa bao LA kwanza coz hilo hutoka mapema kwa wanaume wote walio kawaida hasa waliokaa siku kadhaa bila sex.....in normal physiology, u can't have a full blood supply on ur penis for one hour to keep it erect.....brain itakosa damu mwisho utakufa.....
 
Kwaio ulikua na mahusiano na wanaume wawili kwa wakati mmoja...mara ya mwisho umepima ukimwi lini
Hujaelewa nini hapa mkuu, ndo maana nikasema nimetulizanana kababa chanja kangu! kanajua majukumu yake, hebu rudia kusoma tena between lines!
 
yani wewe ndo hopeless kabisa.......utamu kila mtu ajitafutie mwenyewe, wewe kama huwezi kujitafutia kafie mbele, yani ukae usubiri ukunweeee,.. kila mtu apambane na hali yake......
 
yani wewe ndo hopeless kabisa.......utamu kila mtu ajitafutie mwenyewe, wewe kama huwezi kujitafutia kafie mbele, yani ukae usubiri ukunweeee,.. kila mtu apambane na hali yake......
Mbona wanaume mnapendaga kupewa utamu na wanawake?

Mbona wanaume mnatakaga wanawake wanaojua utundu kitandani?
 
Mbona wanaume mnapendaga kupewa utamu na wanawake?

Mbona wanaume mnatakaga wanawake wanaojua utundu kitandani?

hivyo ndo mnavyopercieve lakini uhalisia ni kwamba hamtupi utamu, tunajisevia wenyewe., na nyinyi mnatakiwa mjisevie wenyewe
 
Hivi wanaume wa JF mbona mnayoyaongea humu ni tofauti na yaliyopo kwenye maisha halisi? Eti ndo tunavyoperceive wewe kati ya mwanamke anayejua ufundi kitandani na asiyejua utamchagua yupi kati yao?

Obviously utamchagua anayejua sasa kama utamu unajipa mwenyewe kwanini usimchague asiyejua? Yaani mnapenda kupewa raha ila ninyi kuwapa wenzenu raha hamtaki.
hivyo ndo mnavyopercieve lakini uhalisia ni kwamba hamtupi utamu, tunajisevia wenyewe., na nyinyi mnatakiwa mjisevie wenyewe
 
cha msingi ni makubaliano tu na kumjua mwenzako baaaas.........hujawahi kujikuta sometime unacum hata kabla hujakutana na mshkaji??? ni swala la psychology tu...sio nguvu saaana
 
cha msingi ni makubaliano tu na kumjua mwenzako baaaas.........hujawahi kujikuta sometime unacum hata kabla hujakutana na mshkaji??? ni swala la psychology tu...sio nguvu saaana
Yaani hautaki kujibu swali unazunguka tu kama hauna majibu sema nimekuuliza kati ya mwanamke anayejua na asiyejua utamchagua yupi? Na ukimchagua anayejua kwanini umchague huyo wakati utamu unajipa mwenyewe?

Na hata hivyo kwanini mara nyingi wanaume huwa mnachepuka kwa kisingizio cha kwamba wake zenu hawana ufundi kitandani ila michepuko yenu inao? Kwanini?
 
ATA mimi hivyo hivyo sitaki kujitesa... Kuna ukimwi miaka hii....
 
Umekutana na mwanachama wa CHAPUTA. Ukaamua kutugeneralize wanaume wote. Sisi wengine tukipanda juu hatushuki hadi uwake moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…