Wanaume mnaocheza vikoba mnatia aibu

Si ununue ya blue?Huoni kama unachochea dhambi ya usengenyaji?😅😅
 
Chimbuko la Vicoba ni wanawake wanaotunzana tunzana especially kwenye sherehe sherehe hii Dar imekuepo tangu miaka ya 90' huko Ila washiriki wake ni wanawake wanaume wamevamia tu baada Mambo kubana inabidi utumbukie popote mradi kuna unafuu
Miaka ya tisini ipi na wapi?
Ktk upambanaji kila kitu kinaweza kuwa siraha. Tuache dharau tukishapata vijisenti kidogo na kuona wenzetu hawapambani.
 
Tafsiri ya VICOBA..Village Community Bank....haina jinsia pia imewainua watu.....
 
VICOBA ikikua inakua SaCoss... watu wa bank wenyewe wanatafuta ViCoba ili wamwage pesa
 
Theme ya vikoba ni ipi?
 
Miaka ya tisini ipi na wapi?
Ktk upambanaji kila kitu kinaweza kuwa siraha. Tuache dharau tukishapata vijisenti kidogo na kuona wenzetu hawapambani.
Hio Michezo ya 'Upatu' imeanza miaka hio mwishoni mwa 80' mwanzoni mwa 90', kilichofanyika ni modifications tu ndio ikaleta neno 'Vicoba' (Village Community Bank) na hio Vicoba ikafanyiwa modifications nayo pia ikaleta 'Saccos' (Savings and Credit Cooperative Societies) Ila washiriki waanzirishi ni Wanawake sio wanaume tena wamekua wakifanya hivyo ili kusaidiana kwenye changamoto mbalimbali zinazowakabiri, wewe mtoto wa 2000 utaelewa nini una miaka 23' mpaka sasa bado una mengi ya kujifunza

Kwa sasa kutokana na ukali wa Maisha kila mtu anashiriki hata kile ambacho hakikua Desturi hapo mwanzo, sio Desturi Mwanamke kuchinja Ila siku hizi wapo wanawake wanachinja kuku, mbuzi, kondoo, Ng'ombe, nk tena bila uoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…