gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Wengi hawajui,wanafikiria vicoba ni ile michezo ya kinamama yakupeana ela kireja reja nakuzulumiana.Hawajui kama vicoba ni bank kama bank zingine local community.Tatizo ni elimu na uelewa duni kuhusu hili swala.Wanawake wanadharau wanaume wasiokuwa na pesa.
Miaka ya 90's Jiji la Dar ndio lilianza kupokea vijana wa kimakonde kutoka mikoa ya kisini na ndio wakaasisi jina la Wamachinga.
Nakumbuka Wamachinga wa mwanzo kwa sisi Watoto wa Dar tuliwaona kama mafala Fulani kwa biashara walizofanya kumbe walipiga sana pesa na Watoto wazuri mtaani wakawa wanawapenda wao kwa sababu wana pesa sisi tuna sound za uzawa tu kumbe ujinga mtupu.
Inawezekana wengi hawana elimu ya village community bank au hata hao washiriki huenda baadhi yao hawana uelewa wa namna ya uendeshaji wa Vicoba, kuna vicoba aina mbili Vicoba Endelevu na Vicoba vya kuvunja.