Wanaume mnaoenda chini ya dakika 30, hivi mnajielewa kweli?

Wanaume mnaoenda chini ya dakika 30, hivi mnajielewa kweli?

Kwani unamlipa akae sana??? Wewe ndo unatoa za matumizi? Kama ana kuboa kwa nini usimuache?? Na wewe usimgande ambaye si type yako, kama umewahi kufanya umalaya na pipe za kila aina zikapita usiwasumbue watu bana, mbona yeye aongelei bwawa lako?? Hujui bwawa linatia kinyaaa?? Sasa nyingne wanaume tunatembea na watu wengne ili tumalize shida zetu tusepe,

Nk. Mwanaume akipata mwanamke ambaye anampenda kweli lazima amridhishe, ila akikutana na nyie wapita njia anamaliza shida yake anaondoka kimya kimya
 
kama kichwa cha habari kinavyosema kama kuku vile....wanaume wa type hii mnatuchosha ngoja tu niwamegee siri..yani unakuta dakika 10 nyingi umeshamaliza, hivi mko serious kweli? na akichepuka usilete lawama maana unamuacha mtoto wa watu juu juu na muwasho akunwe na nani
aisee hebu tafuteni solution ya hii kitu, sijui ni vyakula mnavyokula au ni uvivu wengi wenu zero kabisa
hahaha basi kuna watu wataguswa sana na hii kitu, you can call me names and whatever ila kaujumbe kamefika
jumapili njema....
Gusa Unate !!!
 
Usiwalaumu, kama mtu uwezo wake ni kuendesha Carina kwanini unamlazimisha andeshe Fuso? Wewe tafuta njemba atae kutafuna masaa mawili na waache hao watufute wenzao wa dk 10.
ingekuwa unaweza kujua kwa kuona mbona kusingekuwa na malalamiko...tatizo mpaka uonje
 
Hana nguvu za kiume..si wengine tuliopitia jando raha sana hutasikia mwanamke akilalamika na hata mwanamke akiolewa nitaendelea kukumbushia enzi mana kuna kitu anakuwa anamisi...Vijana mazoezi pia ni Zero
 
Kipindi cha nyuma kidogo ilikuwa wanawake hawaishi kwa waganga kutafuta dawa za kuwalizisha wanaume zao sasa ukistaajabu la lubuva utaona ya jecha now wanaume wanapishana kwa waganga wa kimasai etc kisa kulinda heshima ya kiume mara watumie mbwaka mbwaka mara mkuyati... Na kusahau kwamba mind seat ndo kila kitu ktk tendo Wengi wanalagaiwa na maneno ya vijiweni mara cjui kapiga bao 10 bao moja dk 40 haya maneno yote yana tuathirika sana wanaume wengi pressure imekuwa kubwa treni lazima itoke kwenye reli [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] maana kila sehemu ni majanga ya nguvu za kiume naomba litangazwe kama janga la kitaifa kwa Tanzania na liingie kwenye vitabu vya maajabu hakuna naaamna sasa[emoji125] naona tukizingatia haya yanaweza saidia ukiacha kwa wale wenye magonjwa kama kisukari etc kula vizuri tena kwa kuvipa kipaumbele vyakula vya Asili kufanya mazoezi kupumzisha mwili na akili kuacha nyeto na picha za ngono na ku relax wakati wa tendo ni tiba tosha.
 
Back
Top Bottom