Wanaume mnaoenda chini ya dakika 30, hivi mnajielewa kweli?

Wanaume mnaoenda chini ya dakika 30, hivi mnajielewa kweli?

kimaumbile mzunguko wa kwanza wa mwanaume haufiki dakika 30, ni wastani wa dakika 11 na 13 hivi. Ukiona mwanaume anakwenda hizo dakika, kuna uwezekano mwanamke ni "baridi" au "gogo" kama wale made in kilimanajaro
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema kama kuku vile.

Wanaume wa type hii mnatuchosha ngoja tu niwamegee siri yani unakuta dakika 10 nyingi umeshamaliza, hivi mko serious kweli?

Na akichepuka usilete lawama maana unamuacha mtoto wa watu juu juu na muwasho akunwe na nani, aisee hebu tafuteni solution ya hii kitu.

Matatizo umsababishie wewe!
Chakula kibovu wewe ndo unayempikia!
Mastress unampa wewe!
Anayemshawishi twende bar ni wewe!
Afu Matatizo akatatue mwenyewe Duh!!

Sijui ni vyakula mnavyokula au ni uvivu wengi wenu zero kabisa.

Hahaha basi kuna watu wataguswa sana na hii kitu, you can call me names and whatever ila kaujumbe kamefika.

Jumapili njema.
 
Wanaume wa Dar inawahusu..Wadada wa huku bara hata ukiumwaga kwa tako2..hawawezi ongea wanatafuta tiba wao kimyakimya..baada ya muda ..ni kazi tu hakuna kulala
 
Du, kwa hiyo unataka wapanda baiskeli eeeee. Angalia itawaka moto hiyo aiseee
 
wengine hata tukifkisha dk 10 hyo siku najiita nimepga kazi,sasa sijui siku nikifikisha dk.20-30 nitasemaje.
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema kama kuku vile.

Wanaume wa type hii mnatuchosha ngoja tu niwamegee siri yani unakuta dakika 10 nyingi umeshamaliza, hivi mko serious kweli?

Na akichepuka usilete lawama maana unamuacha mtoto wa watu juu juu na muwasho akunwe na nani, aisee hebu tafuteni solution ya hii kitu.

Sijui ni vyakula mnavyokula au ni uvivu wengi wenu zero kabisa.

Hahaha basi kuna watu wataguswa sana na hii kitu, you can call me names and whatever ila kaujumbe kamefika.

Jumapili njema.
mbunye sio kama saa au mobile app... flexibility is key na muda pekee sio determinant ya tendo

cha maana ni kuwa tayari kwa sprint au marathon depending on the partner

In fact mwanamke fundi ndio manager wa tukio, ukipata dada fundi, hata masaa mawili unapiga... ila ukipata twanga pepeta, hakuna kitu zaidi ya majasho tu

The bottom line... sex ni art na sio kazi and it takes two
 
Alafu wanaanza kutulaumu wavaa uniform ohhh tunawagongea madem zao tatzo lao wanagonga kisharobalo hebu ni pm bana
 
Tatizo ni kwamba wanaume tulio wengi tunaishi ki kike kike we mtu asubuhi unakula maandazi 2 na chai kikombe kimoja , mchana wali kukui halafu usiku chipsi mayai na bia pia mazoezi hufanyi unadhani utapata wapi ujuzi wa kukimbia long race? Inshort Kula Nguna ya Udaga na mahindi au mahindi na mtama piga round kama 5 za uwanja wa mpira then ingia kwenye game uone kama goli kipa ataweza kuhimili mikiki yako.
Kama kichwa cha habari kinavyosema kama kuku vile.

Wanaume wa type hii mnatuchosha ngoja tu niwamegee siri yani unakuta dakika 10 nyingi umeshamaliza, hivi mko serious kweli?

Na akichepuka usilete lawama maana unamuacha mtoto wa watu juu juu na muwasho akunwe na nani, aisee hebu tafuteni solution ya hii kitu.

Sijui ni vyakula mnavyokula au ni uvivu wengi wenu zero kabisa.

Hahaha basi kuna watu wataguswa sana na hii kitu, you can call me names and whatever ila kaujumbe kamefika.

Jumapili njema.
 
Good thing haya mambo ya 6*6 hayajawahi kunisumbua,mda wangu wa kula mzigo ni zaidi ya lisaa moja na nusu
 
Mie huwa naenda mpaka saa 1 unusu nakomaa tu, au nina tatizo?
 
Jamani hata kama umewashwa na upupu unakunwa kwa ndani dakika 30?Au hapa unazungumzia kuandaliwa na kupiga story za mapenzi chini ya dk 30?
 
Aka!
Anafika Haraka kiasi gani,
Si hoja Sana.
La- msingi, Je, Anakufikisha?
Je, Anakufanya ujihisi kuwa wewe ni Mwanamke kweli Kitandani?

Tatizo tunakariri.

Jiulize wewe mwenyewe,
(Kimoyomoyo)
Unao uwezo wa kuvumilia nusu saa nzima unasuguliwa kweli?

Ukweli ni kuwa wapo Wanawake wachache
Sana wenye Kipaji hicho.
Pili, Una Misugu yako huko 'Nonihino' Sijui umeipataje nije nishupae nayo mimi kuikuna?

HAKUNA,
Mingine Michangu tu, Jifanye bingwa wa kusugua uchukue ya kuyachukua.
 
Kuna mdau mmoja alinifurahisha sana resolution yake mwaka huu ni kugusa tu akimaliza ,umeridhika ,hauja ridhika utajua mwenyewe
mkuu kunawengine wamefanyiwa ile kitu wanaita FGM, watu wameng'oa ma labia yote (majora &minora) sasa hapo unajisumbua bure utapiga hata masaa tisa mtu haridhiki, kwa hyo inategemeana
 
mkuu kunawengine wamefanyiwa ile kitu wanaita FGM, watu wameng'oa ma labia yote (majora &minora) sasa hapo unajisumbua bure utapiga hata masaa tisa mtu haridhiki, kwa hyo inategemeana
Hahaha ndio maana nilimwelewa sana jamaa aliyesema anagusa tu anasepa , kumridhisha huyu kiumbe kunategemeana na vitu vingi sana ,mojawapo ni hiyo uliyoisema
 
Back
Top Bottom