data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Where has she been....!??Where to?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Where has she been....!??Where to?
Chezea hela wewe, mengine nilitafuta pa kupoozea.We utakuwa mpare tu! Mtu wa aina hiyo uliwezaje kuendelea naye?
Hahahhahahah, nilimwacha huku roho inaniuma.teh teh yani hata kwa sh ngapi simtaki huyo mchaga wako..kama kuku kitu gani hicho?
Twaib!
Ulichosema ni kuntu.
Na kwa kuongezea tu, kama mtu una uzoefu, sina shaka utakuwa umeshakutana na wanawake walio na sexual dysfunction.
Katika hao, wapo wanaojua kuwa wanasumbuliwa na hilo tatizo na wapo wengine hawajui kuwa wana hilo tatizo.
Kuna baadhi ya tafiti zinazoonyesha kuwa sexual dysfunction hutokea katika asilimia 43 ya wanawake.
Halafu kuna wanawake ambao hawawezi kupata vaginal orgasm kupitia intercourse/ penetration. Hawa hata uende masaa 10, hamna kitu.
Hivyo ni vizuri mtu akajijua yeye ni wa aina gani - clitoral orgasm au vaginal orgasm - halafu akampa mwongozo mwenzake.Clitoral orgasm, kwa mujibu wa tafiti, ndo chanzo kikubwa cha female orgasm.
La sivyo hizi lawama na ukosefu wa ufahamu vitaendelea kusumbua na kufanya watu wafikie mahitimisho yasiyo.
Kwa mintarafu ya papuchi mpya, hiyo nayo inategemea na ubora wake. Kama ni bora, ukiongeza na ule mzuka wa upya, sidhani kabisa kama itachukua muda mrefu kabla hujafyatua risasi.
Lakini, ikiwa mpya na isiyo na ubora, amini unaweza kwenda hata saa zima bila kufyatua.
Zamani kidogo [kwenye miaka ya 2002 na 2003] nilikuwa napenda sana kuangalia kipindi cha Berman & Berman kwenye chaneli ya Discovery Health.
Kilikuwa ni kipindi cha mtu na dadake [siblings], Laura na Jennifer Berman.
Jen Berman ni daktari na Laura nimesahau fani yake.
Hiki kipindi kilikuwa ni cha kuelimisha sana hususan kwenye mambo ya sexual health.
Nashauri watu waingie hapa kuusoma wasifu wa Dr. Berman na pia waingie kwenye tovuti yake hapa ili kujifunza zaidi kuhusu mambo ya female sexual medicine/ health.
Naamini watu wakijifunza zaidi kuhusu haya mambo basi huenda itapunguza lawama zisizo na msingi kwa sababu baadhi ya hizi lawama ni matokeo ya ujinga [hali ya kutokujua jambo au mambo] tu.
Hawa hapa hao wadada kwenye moja ya episodes za kipindi chao.
I didn't knowWhere has she been....!??
Binafsi huwa naburudika kuona unakili kuwa unanuka chiu. pole sana brenda njoo dar kuna sababu na dawa za kuondoa tope.
Na Tako pia ndo muhimu zaidi usisahau
Tako lipo
Aiseee!!!...... I was blind but now i see!!hahaha hivi wanaume wote jf wangekuwa waswahili kama wewe tungehama humu....ibra hunijui wala hujanionja ila umevurugwa na mimi vibaya mno...kisa mitongozo yako pm ilikataliwa....haha kukataliwa kitu cha kawaida wacha jazba...na kwa sasa wadada washakujua naona unakosa hata wa kumfata huko pm hehehe.....wewe kesha hapa ukijifariji hakuna kinachobadilisha fundi kinyozi..hivi saluni unayofanyia iko wapi vile?
mwanaume mmbea mpaka unasutwa huko watsap yani ni aibu kwa wanaume wengine....leo naona tutakesha hapa mpaka upate unachotaka...mwanaume lijali unakesha kubishana na mtu usiemjua...kilichobaki uvalishwe shanga...watu wengi wamekupania wewe wanakuchora tu dada ibra masimba fundi kinyozi sijui wa wapi teh teh
mnhhhhhh
Nilifikiri labda ungemega siri ya kufanya waende zaidi ya hizo dakika 30,Kama kichwa cha habari kinavyosema kama kuku vile.
Wanaume wa type hii mnatuchosha ngoja tu niwamegee siri yani unakuta dakika 10 nyingi umeshamaliza, hivi mko serious kweli?
Na akichepuka usilete lawama maana unamuacha mtoto wa watu juu juu na muwasho akunwe na nani, aisee hebu tafuteni solution ya hii kitu.
Sijui ni vyakula mnavyokula au ni uvivu wengi wenu zero kabisa.
Hahaha basi kuna watu wataguswa sana na hii kitu, you can call me names and whatever ila kaujumbe kamefika.
Jumapili njema.
Dakika 30 natafuta madini gani humo, nyuchi zenyewe hizi hizi nnazozijua, mtanisamehe, hii ni chapa ilale, dk 10 tu kila mtu afuate hamsini zake, sina kipaji cha kumburudisha mtu,
Basi hapo ni kupigwa kazi tuTako lipo