Mabinti wa siku hizi hawana test kabisa!
1.binti unamkuta ni mzuri, mrembo lkn ukienda naye faragha, kama hutokutana na bwawa lenye tope basi ni ukurutu,hata hiyo romance itatoka wapi? yani mnatupunguzia ashki kwa kweli.
2. Wanawake wa siku hizi mnajipodoa kupitiliza, ukiachilia mbali perfume, nywere zina harufu yake, powder, makucha. Kuna harufu flani y asili ambayo humvutia mwanaume, sisemi msioge hapana ila mnazidisha matokeo yake mnaondoa naturality ya mwanamke. Inatakiwa mwanaume ukipishana na mwanamke uhisi umepishana na kiumbe huyo na sio ma harufu ya ajabu ajabu yasiyoeleweka inaondoa mzuka.
3. Siku hizi watu tunatembea na maradhi, hivyo uhuru wa kuonyeshana ufundi haupo vinginevyo utaondoka na matatizo. Siku hizi hata uvae mpira bado akili yako inakuwa haipo kwenye tendo lenyewe ukijaribu kuchukua tahadhari labda mpira utapasuka uondoke na ma UTI au matatizo mengine na hasa unapokutana na mazingira yasiyo friendly.
4. Hakuna jipya kwa wanawake wa siku hizi sababu rasilimali zake kama vile mapaja, matiti na nyingiezo zimeshaanikwa kila kona hivyo tumezikinahi kabla.
Zamani kuona kifua cha mwanamke au upaja wake ilikuwa ni issue na ndio vichocheo kwa mwanaume, sasa nowdays.,?
5. Siku hizi mwanamke anapatikana kwa urahisi zaidi kuliko kawaida na ndiomana mwanaume haoni sababu ya kujichosha kwako kwani anauhakika anaweza kuachana na wewe siku hiyohiyo akapata mwingine wa kupiga naye show mpya.
Hizi ni moja ya changamoto tulizonazo vijana wa karne hii.
Nina uhakika kabisa mwanaume akipata mwanamke anayempenda na kumfeel, na mwanamke akawa na vigezo, wala ahitaji viagra.