Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante sana, naona unang'ang'ana ni tatizo kwasababu tu wewe hufiki hukoSina tatizo Ila nakushangaa Unavyoshadadia kuinjoy na mtu kwenye matatizo ukifkri ni sahihi mshauri mwenzio itafikia hatua hata hcho cha dk 30 usikipte but all the best nisikiharibie stareh zko
Mara nyingi watoto wa kike wanaokwenda dk 30 ni wale waliokeketwa kwa maana hawana hisia kwa wale ambao hawajakeketwa si zaidi ya dk kumi kwani organs zake ziko active , wengine ni wale wenye gono maana huwaswa sehem zao za siri hivyo muda mwingi hupenda kukunwaKama kichwa cha habari kinavyosema kama kuku vile.
Wanaume wa type hii mnatuchosha ngoja tu niwamegee siri yani unakuta dakika 10 nyingi umeshamaliza, hivi mko serious kweli?
Na akichepuka usilete lawama maana unamuacha mtoto wa watu juu juu na muwasho akunwe na nani, aisee hebu tafuteni solution ya hii kitu.
Sijui ni vyakula mnavyokula au ni uvivu wengi wenu zero kabisa.
Hahaha basi kuna watu wataguswa sana na hii kitu, you can call me names and whatever ila kaujumbe kamefika.
Jumapili njema.
Huu ndio ukweli mubashara ambao hauwezi kupingwa na mtu yeyote.It may make sense somehow, but it's too general!
The question is TIME & SATISFACTION during the process of interaction/sexual Intercourse have ZERO relationship with Being satisfied on bed...
Inaweza chukua mda mrefu ikawa not satisfactory au la vice versa is true!
Tatizo lingine ni kwamba, Women attractions on bed towards men differ from men to men! A situation which may lead to quick or delay in ejaculations!
Kingine, wanawake wengine wanakuwa na maumbile yalotumika sana kiasi kwamba hayawafurahishi wanaume walio wengi sana...
Nianzia hapo kwanza
i love this. yani wew ulikua kichwani mwangu mana kila cku nafikiria sana juu ya hiki kitu. na ndio maana wanawake wote dunian wamewekewa UBIKRA. mungu alikua na makusudi yake. kwamba unapomwngilia mke wako kwa mara ya kwanza size ya uume wako viendane na size ya uke wake. mfan chukua kijiti chembamba toboa tundu kwenye mgomba then chukua kingne kikubw kdg ingiza then sugua fanya hvo kwa vijiti tofaut vyenye ukubwa na urefu tofaut. alaf rudisha kile cha kwanza. kwa hakik n kwamba kitapwaya. kwa hiyo bas hiyo ndio logic nzma ya makusud ya mungu kuweka ubikra. alaf tuspgizane kelele hum tusomen hata vitabu mfano mars and venus in to the bedroom by phdHaya ndio madhara ya zinaa....
Zinaa huondoa haya na aibu kwenye nyuso za wanadamu...
Zinaa hupunguza umri wa kuishi....
Zinaa humfanya mtu atoke katika hali ya ubinaadamu na kuingia katika unyama....
Mwenyezi Mungu alipohalalisha ngono kwa watu wenye uhalali hakuwa na maana ya kutaka kutunyima kufaidi tamu ya dunia bali ni katika kutuepusha na mabalaa ya dunia......
Kutakuwa na ndoa ya aina gani ikiwa mwanamke ana historia ya kuingiliwa na wanaume zaidi ya kumi...
Kutakuwa na ndoa ya aina gani ikiwa mwanaume amezoea kuwaingilia wanawake tofauti kila uchao....
Hakuwezi kuwa na ndoa kwani kila mmoja atakuwa anaringanisha na kule alipotoka....
Mwanamke akiolewa akiwa hakuwahi kuingiliwa na mwanaume yeyote hata mumewe awe na maumbile madogo kiasi gani haitampa shida kwani ndio mwanaume pekee anayemjua.....na atajua kuwa wanaume wote wapo hivyo....
Vivyo hivyo kwa mwanaume ikiwa hajawahi kumuingilia mwanamke yoyote isipokuwa mkewe hata mkewe awe na kasoro gani ya kimaumbile haiwezi kumpa shida....kwani atajua kuwa wanawake wote wapo hivyo.....
Watu wote wangekuwa wanafuata maandiko ya mwenyezi Mungu kuhusu ndoa wala kusingekuwa na malalamiko ya wanawake wakilalamikia kutofikishwa wala wanaume wanaolalamikia kasoro za wanawake.....
Na nyie nao mmezidi kulala kama gogo ,mnaleta u super star hadi kwenye kitandani,unatakiwa umshawishi sana kwa kukata viunooooohahahhaa ,inaudhi hiyo,mtu anaingiza dakika mbili tu kamaliza,bora niwe single kuliko mwanaume wa hivi,
[emoji3][emoji3][emoji3]kabisa mkuu. Porn inamfaa.Kama unataka dakika 30 nenda kacheze pono ......
[emoji3][emoji3]mmasai20Na nyie nao mmezidi kulala kama gogo ,mnaleta u super star hadi kwenye kitandani,unatakiwa umshawishi sana kwa kukata viunooooo
Blenda kuna kitu hakielewi.Wanaumeeeeeeee mje huku brenda anatushambulia huku...
ndio wazungu wanasema no research no right to speak
nimefanya research mimi mwenyewe mkuu, kuna tatizo?
hahaha aisee Mungu hakuumba uke kama shimo, kama watoto wanapita na unarudi kama ulivyo sembuse uume? hii kitu ni elastic ndugu tofauti na mashimo mengine yeyote unayoyajuai love this. yani wew ulikua kichwani mwangu mana kila cku nafikiria sana juu ya hiki kitu. na ndio maana wanawake wote dunian wamewekewa UBIKRA. mungu alikua na makusudi yake. kwamba unapomwngilia mke wako kwa mara ya kwanza size ya uume wako viendane na size ya uke wake. mfan chukua kijiti chembamba toboa tundu kwenye mgomba then chukua kingne kikubw kdg ingiza then sugua fanya hvo kwa vijiti tofaut vyenye ukubwa na urefu tofaut. alaf rudisha kile cha kwanza. kwa hakik n kwamba kitapwaya. kwa hiyo bas hiyo ndio logic nzma ya makusud ya mungu kuweka ubikra. alaf tuspgizane kelele hum tusomen hata vitabu mfano mars and venus in to the bedroom by phd
[emoji3] [emoji3] asante kwa offer mkuu